Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatua zilizochukuliwa na Serikali ndiyo ushahidi wa hicho unachotaka kumaanisha.Records show he was registered as a Republican voter in Pennsylvania,
but previously made a $15 donation to a Democratic aligned group,
Ila hajaitwa terrorist kwa sababu siyo muislamu ,huyo ni jewRecords show he was registered as a Republican voter in Pennsylvania,
but previously made a $15 donation to a Democratic aligned group,
Source
terrorists ni kikundi cha watu wenye itikadi fulani. bado hajagundulika kuwa na afiliation na kikundi chochote..huyo ni mass shooter tu (na hapa penyewe hajaqualify kwasababu hajaua/ kuumiza watu zaidi ya wa5).. usilete conspiracy theories hapaIla hajaitwa terrorist kwa sababu siyo muislamu ,huyo ni jew
Hoja za kitoto hizo na tena za kipumbavu sana kazi ya Interpol ni nini?Ila ukumbuke walimtorosha na wanamficha hadi sasa-Key witness- dreva wa Lissu, aliyekuwepo kwenye tukio wakati wa tukio
Sahivi yupo kaburinialikuwa mjuzi wa hesabu mpka akapewa tuzo alivyomaliza high school.he also tried to join his school rifle club and was rejected because he had a bad aim, wazazi wake ni wanasaikolojia / wataalamu wa afya ya akili. perfect recruit for the CIA
Terrorist ni mmoja, wakiwa wengi ni terroriststerrorists ni kikundi cha watu wenye itikadi fulani. bado hajagundulika kuwa na afiliation na kikundi chochote..huyo ni mass shooter tu (na hapa penyewe hajaqualify kwasababu hajaua/ kuumiza watu zaidi ya wa5).. usilete conspiracy theories hapa
Wewe acha porojo fanya kazi maisha haya usiyachukulie poa kuna maisha baada ya siasa na siasa siyo uongo na uadui.Adui wa mwisho kwa wanadamu ni shetani ambaye ndiye mwasisi wa uongo.Kama uongo una faida basi endelea ila mimi siyo muumini wa uongo.Kazi ya raia ni nini?
Kaitwa gaidi.Usipotoshe na kuanzisha uislamu wako.Unakosea.Ila hajaitwa terrorist kwa sababu siyo muislamu ,huyo ni jew
Wakina nani walimtorosha na kumficha?Ila ukumbuke walimtorosha na wanamficha hadi sasa-Key witness- dreva wa Lissu, aliyekuwepo kwenye tukio wakati wa tukio
Sijaona media yoyote iliyomuita hivyo ,labda mwenzangu kama umeona share plseKaitwa gaidi.Usipotoshe na kuanzisha uislamu wako.Unakosea.
Hapo sasa.Wakina nani walimtorosha na kumficha?
Inawezekana haujaona ila mimi nimesikia BBC (radio)wakitamka hivyo.Sijaona media yoyote iliyomuita hivyo ,labda mwenzangu kama umeona share plse