Aliyejaribu kuumua Trump alikuwa wa chama chake Republican ila alichangia chama cha Democratic

Acha unaa comte hoja yako ni sawa na moja hivi ya Luca.
 
na pia only the dead have seen the end of war.
Tena chaap kwa haraka huku akirarua sikio la mwenzake,waswahili wanasema damu inamlilia muuaji sasa muuliwa analiliwa na damu aliyokuwa na kiu nayo.
 
Kwanini hawamuiti gaidi huyo au kwa kuwa Myahudi 😄

Wanafiki kweli Wakristo na Wayahudi angekuwa huyo kijana ana damu ya kiarabu au Muislam ungesikia wimbo wao wa kanisani Islamic extremism 😄
 
Wenzake Lissu ndio wana mamlaka ya kuwaondoa walinzi waliowekwa na serikali eneo la tukio ?

Wenzake na Lisu ndio wana mamlaka ya kuondoa CCTV CAMERA eneo la tukio ?


Hivi kwa nini mnasababisha machungu kwa mababu zenu waliotangulia ahera kwa ujinga mnaouandika mitandaoni.
 
Tunaiomba Serikali Elimu izidi kutolewa.

Nawaza umeenda shule umeelezea hivi, je usingeenda?
 
Tunaiomba Serikali Elimu izidi kutolewa.

Nawaza umeenda shule umeelezea hivi, je usingeenda?
Enhee tuendelee kwahiyo unatuambia gaidi lazima asababishe vifo na wawe kikundi ??? Ndio akili zako zimeishia hapo?
 
Hiyo ni kweli ndiyo maana hata vyombo vyote vya ulinzi na usalama wa raia na mali zao hivijachukua hatua yoyote mpaka sasa mbali na hatua za kumnyima hela zake za matibabu, kuzuia wananchi wasimwombee makanisani na kuendelea kukebehi lile tukio hadharani na sirini!
 
Kumbuka islamic terrorist ni wale wanotumia islamkc doctrine kufanya mauaji
Terrorist siyo maana yake awe muislamu terrorist ni mtu au kikundi chochote kinachotumia njia ya fujo ,kuua au vurugu na lenye malengo ya kisiasa
Ndio maana nasema wengi wenu ni ushabiki tu na mmekaririshwa hata maana ya hilo neno hamjui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…