MIMI BABA YENU
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 305
- 728
Tarehe 12/08/2022 RAYMOND NJOFU BWIRE (28) Mkazi wa Kamguluki Mkoa wa Mara alikamatwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kutuma ujumbe mfupi kwenye simu ya mkononi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mlele Mkoani Katavi anayejulikana kwa jina la TERESIA IRAFY.
BWIRE alimtaka Mkurugenzi IRAFY kumsaidia mdogo wake kupata kazi ya utendaji wa Kijiji kwa kujitambulisha kwa jina la DIWANI ATHUMANI Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa.
Kufuatia suala hilo Mahakama ya Inyonga iliyopo Wilaya ya Mlele Mkoani wa katavi imemuhukumu BWIRE kifungo cha miaka mitano (5) jela kutokana na kosa hilo.