Aliyejifanya YESU atimuliwa Kenya

Aliyejifanya YESU atimuliwa Kenya

Wakenya nao kujikutaga wana akili sana kumbe ni wehu tu..
Kweli wameamini huyo ni Yesu na kumpa sadaka..
Ila muda mwingine linapokuja suala la imani waafrika tunakuaga wajinga sana.
 
Ndio maana Serikali imeingilia kati na kumtimua huyu Shwain mweupe
Wakenya nao kujikutaga wana akili sana kumbe ni wehu tu..
Kweli wameamini huyo ni Yesu na kumpa sadaka..
Ila muda mwingine linapokuja suala la imani waafrika tunakuaga wajinga sana.
 
Wakenya nao kwa kuchemka! Bado yule nabii wao mwingine mleta mvua na asiyenyoa ndevu; Ougor nani sijui yule!
 
!mnawasema wakenya bure tu. kwenu hapa je ?hamkulishwa maji ya kikombe mbugani masaini huko. Nchinzima ikahamia huko ? Mmemtajirisha babu yule wee........
 
Bora sisi aisee kuliko hawa wakenya wa naona Kuna Yesu wawili na bado wa naamini
!mnawasema wakenya bure tu. kwenu hapa je ?hamkulishwa maji ya kikombe mbugani masaini huko. Nchinzima ikahamia huko ? Mmemtajirisha babu yule wee........
 
Waafrica sijui nani alituroga. Wtau kwa uzwazwa wao eti wakawa wanamchangia pesa huyu "yesu".
 
Back
Top Bottom