Suzy Elias JF-Expert Member Joined Nov 9, 2021 Posts 1,067 Reaction score 6,200 Dec 26, 2021 #1 Your browser is not able to display this video. Maisha ya ugomvi wakati mwingine ni ya kupuuza kabisa. Mwamba hapo juu kwa mfano sielewi hatima ya maisha yake hapo baadae ilikuwaje! Halafu huyo mgomvi wake kama vile alielekezwa kabisa mchezo ukimaliza hapa ugomvi umeshinda. Pole yake.
Your browser is not able to display this video. Maisha ya ugomvi wakati mwingine ni ya kupuuza kabisa. Mwamba hapo juu kwa mfano sielewi hatima ya maisha yake hapo baadae ilikuwaje! Halafu huyo mgomvi wake kama vile alielekezwa kabisa mchezo ukimaliza hapa ugomvi umeshinda. Pole yake.
GangMkush Senior Member Joined Nov 15, 2021 Posts 163 Reaction score 278 Dec 26, 2021 #2 Hapo walitakiwa wampulize sikioni huyo aliyeng'ata, hiyo spidi ya kutoa meno mpaka wangeshangaa
MSAGA SUMU JF-Expert Member Joined May 25, 2015 Posts 6,661 Reaction score 21,656 Dec 26, 2021 #3 mke wa mtu sumu, nilisoma kwenye gazeti fulani kuwa chanzo cha ugomvi wao ulikuwa ni wivu wa mapenzi