Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Maisha ya ugomvi wakati mwingine ni ya kupuuza kabisa.
Mwamba hapo juu kwa mfano sielewi hatima ya maisha yake hapo baadae ilikuwaje!
Halafu huyo mgomvi wake kama vile alielekezwa kabisa mchezo ukimaliza hapa ugomvi umeshinda.
Pole yake.