Aliyekamatwa kwa kuchoma picha ya Rais Samia ahukumiwa faini Tsh. Milioni 5 au miaka miwili jela

huku imeenda mahakama hipi na kesi imeendeshwaje fasta hivyo au ndo wasiojulikana sio haraka ahaaaaaa
 
Yaani hata siamini kama hii ni habari ya ukweli...kumbe hata Magufuli alikuwa na nafuu...usistaajabu ya musa wakati hujayaona ya Firauni
 
Haya ni mambo ya kijima.

Kuchoma picha ya rais, kuchoma bendera ya nchi, kuchoma katiba ya nchi, kuchoma msahafu, hizo zote zinatakiwa kuwa ni sehemu ya haki ya kujieleza tu.

Mradi hivyo vitu unavyochoma ni vyako na unachoma katika sehemu yako au sehemu public bila kuhatarisha wengine.
 
Kwann asichome picha ya mama yake kama ana hasira
Atatoka soon...na hao firauni wenzako hawatafanya hivi daima...jinsi mambo yanavyokwenda hawataenjoy huu upuuzi kwa muda mrefu....picha ya Samia inafungiwa maandazi kila siku...picha yake si msahafu.
Majizi ya kodi za masikini yangekuwa yanahukumiwa haraka hivi si tungekuwa mbali.
 
Uonevu!

Usipambane na mtu aliyekuzidi pesa, cheo au watu nyuma yake kama wewe hauna hivyo vitu au back up!

Funika kombe mwanaharamu apite..!🤸
Msaada upo X Sawa wametuzidi kila kitu lakini sote tunavuta pumzi hii hii
 
 
Uonevu!

Usipambane na mtu aliyekuzidi pesa, cheo au watu nyuma yake kama wewe hauna hivyo vitu au back up!

Funika kombe mwanaharamu apite..!🤸
Wampe 30 sasa 5 si wamechukua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…