Aliyekamatwa kwa kuchoma picha ya Rais Samia ahukumiwa faini Tsh. Milioni 5 au miaka miwili jela

Upuuzi mtupu ๐Ÿšฎ kuna matatizo kibao katika hii jamii, hayatatuliwi. Kuna watu wana kesi za kubambikiwa wanaozea magerezani. Picha mnaithamini kuliko uhai wa wanachi wanaokosa dawa, vifaa tiba.

Watoto wanatembea kilomita nyingi, kufuata shule. Mmeshindwa kuyatatua haya na mengine, mnaweza kutatua adhabu ya picha ndani ya wiki. Takataka kabisa ...
 
Fursa tele mtaani hio hela ya kulipa faini mtaji tosha ukiwa na akili ya kuchomoka
 
Wakati huo mafisadi wakiwa mitaani au kesi zao kuunguruma kwa miaka...
 
Yaani ni chap.

Ngoja twende huko x tukatoe tutakachojaliwa
 
Kesi imeendeshwa faster? Andaeni utaratibu wa michango kule X
 
Huyu si ndo alitoa mpaka location yake kwamba haogopi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Haya tuone sasa
Hivi unadhani udhalimu unaweza kushinda haki? Haki ina tabia ya kuchelewa lakini mwishowe hufika. Unaweza kuwa uraiani na unadhani uko huru kumbe huu udiktekta kesho unagonga hodi nyumbani kwako
 
Uonevu!

Usipambane na mtu aliyekuzidi pesa, cheo au watu nyuma yake kama wewe hauna hivyo vitu au back up!

Funika kombe mwanaharamu apite..!๐Ÿคธ
Duniani watu wangekuwa na akili kama zako ungekuta tunaishi kama wanyama. Anyways ni watanzania wengi wana mawazo kama yako na ndiyo maana nchi inazidi kudidimia.
 
CHADEMA wakiongozwa na Erythrocyte wamchangie asitupwe gerezani!
Hakuna aliye salama kwenye utawala wa kidhalimu. Muulize Kinana au hata Kikwete. Ni suala la muda tu. Ni kama nyumbu aliyeko mbugani anacheka simba anapokamata mwenzake.
 
Tumekabidhi madaraka jitu shamba sana.limechafua Nchi Kwa kuweka mabango ya picha yake ambayo yamegeuka kuwa uchafu.
 
Hiyo unaogopa wewe woga ni ujinga, kumbuka alitaja mpaka alipo alijua kinachofuata Imani yake imeshinda miaka miwili kitu gani Kwa jambo ulilosimamia likafanikiwa. Tayari ujumbe umefika duniani kote
Af ugali wa bure na ni milo mi3 kwa siku ๐Ÿ˜‚
 
Hiyo unaogopa wewe woga ni ujinga, kumbuka alitaja mpaka alipo alijua kinachofuata Imani yake imeshinda miaka miwili kitu gani Kwa jambo ulilosimamia likafanikiwa. Tayari ujumbe umefika duniani kote
Sababu alizo zipigania za ushoga si kubwa kiasi hicho nchini kwetu mpaka ajitoe muhanga afungwe mimi kwa maoni yangu polisi wangemchukua na kwenda kumpima akili hata kama wangemkuta ana akili timamu wao wangesema tu karukwa na Akili basi. Kuna mambo mengine watu wanayakuza wakati wala siyo issue yoyote. Kubwa.
 
Play stupid games win stupid prizes.
 
Hiyo unaogopa wewe woga ni ujinga, kumbuka alitaja mpaka alipo alijua kinachofuata Imani yake imeshinda miaka miwili kitu gani Kwa jambo ulilosimamia likafanikiwa. Tayari ujumbe umefika duniani kote

Endeleeni kuwajaza ujinga. Play stupid games win stupid prizes.
 
DPP, POLICE, MAHAKAMA havihusiani na ujenzi wa miundombinu wala kuleta dawa majukumu yao ndo hayo waliyo tekeleza na wanalipwa kwaajili hiyo.
 
DPP, POLICE, MAHAKAMA havihusiani na ujenzi wa miundombinu wala kuleta dawa majukumu yao ndo hayo waliyo tekeleza na wanalipwa kwaajili hiyo.
Wewe naye sijui umetokea wapi. Aliyeliibua hili ni mkuu wa mkoa, na akasema akamatwe. Huyo kamaliza shida zote za mkoa wake? Ikabaki ya picha tu. Hapa hatuzungumzii kazi ya nani na nani. Wewe kama comment ya mtu huielewi ipite tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ