Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Dah Pole sana Supa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko huko alikohamia laana litamkuta na atakunya kinyesi chenye maumivuHaitasaidia demand ya madereva wa magari ya mafuta ni kubwa mno tofauti na malori mengine.
Huyo dereva huenda kahamia kampuni nyingine anapiga kazi.
Angetafuta namna yoyote ya kumsaidiaUngekuwa wewe ndo dereva ,na huo msala umeshatokea na unaona kabisa una nafasi ya kukimbia,ungejizuia kukimbilia?
SEMA tu ukweli [emoji848]
Kama ingekuwa ni kazi rahisi hivyo kumuombea mtu mabaya basi hii Dunia isingekalika.Huko huko alikohamia laana litamkuta na atakunya kinyesi chenye maumivu
Mjomba wangu alifumuka fuvu na mguu ukasagika kwa ujinga huu,
Anatumia vidonge kila mwezi, asipotumia anakuwa kama kichaa, na ndo alikuwa nguzo ya familiaView attachment 2366506
Duuh! Pole sana.