Aliyekaribia kuwa mchumba wangu nimemkuta na kiroba cha 'sex toys', niendelee na michakato ama nisuse?

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Alinisihi tusizini mpk tutakapo oana. Na hata nilipojaribu kumsihi nimtembelee anapoishi (amepanga chumba chake) alikataa katakata akidai kuwa tunaweza kufanya maovu.

Nilipopeleka barua nikaendeleza shinikizo langu la kumtembelea kwake. Dhamira yangu kuu ni kutaka kuonja tunda kabla ya ndoa. Nikatumia barua kama turufu yangu. Ikatiki.

Pamoja na Mengi haliyofanyika na kutokea huko chumbani, nimekutana na surprise ya karne, shangazi kaja limejaa sex toys. Mishedede artificial mikubwa kama chupa ya Heineken. Mingine imepinda kama mundu.

Hapa nina full jazba. Naombeni ushauri, niendelee na michakato ama nisuse?
 
Mpiga selfie mzuri.
 
Hii inamaana kuwa shemeji humaliza mambo yake home mwenyewe pia ukiangalia hizo sex toy zinakupa picha kuwa hapendi Bamia bali anapenda Tango

Lkn pia jambo la msingi ni kwamba hulka zetu huwa zinatofautiana sana huyu hakutaka wewe uwende kwake Alijua fika kuwa lazima hili litatokea kwani anajijua udhaifu wake wa kupenda ngono ndio maana hata hiyo midude kaweka karibu
 
Shida iko wapi hapo mkuu🙎

Everybody has his or her sexual fantasies...

As long as hujakuta kitu kibaya, potezea.

Mwambie "Babe, from now on make me your sex toy, use me, achana na hao midoli hawang'ati"
 
Nadhani itakua biashara yake!! atakua anauza hayo madubwana.
 
Kwahiyo unasitisha zoezi la uchumba kwa kuhofia kuchakatwa na toys?😂 Unahofia ukilala usiku utashtuka big black dildo iko kwenye makalio au mdomoni?😂🙌
 
Back
Top Bottom