Aliyekaribia kuwa mchumba wangu nimemkuta na kiroba cha 'sex toys', niendelee na michakato ama nisuse?

Aliyekaribia kuwa mchumba wangu nimemkuta na kiroba cha 'sex toys', niendelee na michakato ama nisuse?

Alinisihi tusizini mpk tutakapo oana. Na hata nilipojaribu kumsihi nimtembelee anapoishi (amepanga chumba chake) alikataa katakata akidai kuwa tunaweza kufanya maovu.

Nilipopeleka barua nikaendeleza shinikizo langu la kumtembelea kwake. Dhamira yangu kuu ni kutaka kuonja tunda kabla ya ndoa. Nikatumia barua kama turufu yangu. Ikatiki.

Pamoja na Mengi haliyofanyika na kutokea huko chumbani, nimekutana na surprise ya karne, shangazi kaja limejaa sex toys. Mishedede artificial mikubwa kama chupa ya Heineken. Mingine imepinda kama mundu.

Hapa nina full jazba. Naombeni ushauri, niendelee na michakato ama nisuse?
Shida ni kua wanawake wanapenda mwanaume mwenye jinsia moja, sa ww leo uwe dem leo uwe ndume la nyani. Anaogopa kujiingiza mkenge.
 
Huoni kakukinga dhidi ya Gono ?

25k x 2 siyo mchezo ujue
 
Mkuu,
Usichaganye biashara na mapenzi [emoji4]
 
IMG_20220503_204130_966.jpg
ndo kama huyu??
 
Back
Top Bottom