baby success
JF-Expert Member
- Jul 14, 2022
- 548
- 1,799
Mmmmmh [emoji849] [emoji849][emoji849]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ni kua wanawake wanapenda mwanaume mwenye jinsia moja, sa ww leo uwe dem leo uwe ndume la nyani. Anaogopa kujiingiza mkenge.Alinisihi tusizini mpk tutakapo oana. Na hata nilipojaribu kumsihi nimtembelee anapoishi (amepanga chumba chake) alikataa katakata akidai kuwa tunaweza kufanya maovu.
Nilipopeleka barua nikaendeleza shinikizo langu la kumtembelea kwake. Dhamira yangu kuu ni kutaka kuonja tunda kabla ya ndoa. Nikatumia barua kama turufu yangu. Ikatiki.
Pamoja na Mengi haliyofanyika na kutokea huko chumbani, nimekutana na surprise ya karne, shangazi kaja limejaa sex toys. Mishedede artificial mikubwa kama chupa ya Heineken. Mingine imepinda kama mundu.
Hapa nina full jazba. Naombeni ushauri, niendelee na michakato ama nisuse?
Piga acapella humo hamna UKIMWIMpiga selfie mzuri.
Sexless hana jinsia utegemea na uzi[emoji848][emoji848]
mkuu Sexless samahani sana kama nitakukera, naomba nikuulize je wewe ni ke/me au robot?