johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wewe si ndo ulikuwa unashadadia "wapigwe" tu wakati wenzetu huko ni mambo ya kawaida?Kuna tofauti kubwa kati ya dunia ya kwanza na hii yetu ya third.
Wakati askofu Gwajima akiitwa kwenye tume za maadili za bunge na CCM na kuadhibiwa kwa kuhoji umadhubuti wa chanjo wenzetu kule Marekani ni tofauti kabisa.
Mwanamuziki Minaj baada ya kugomea chanjo kutokana na ushuhuda wa ndugu yake kuvimba korodani baada ya kuchanjwa, serikali ya nchi yake ya Marekani imemualika Ikulu ili akaelimishwe kwa upana kuhusiana na chanjo ya covid 19.
Mungu ni mwema wakati wote!
Etc demokras sio kama azamcola na sie tuna mambo tumezidi kuupiga mwingiKwa i Rais wa sasa na aliyepita si washasema sisi tuna demokrasia yetu tofauti na huko mnakokutaja!!
USA wamegundua chanjo yao wenyewe. Gwajima anajidai mtalaam wa chanjo ya watu wengine angeenda huko huko kuongea nao na kujielimisha.Kuna tofauti kubwa kati ya dunia ya kwanza na hii yetu ya third.
Wakati askofu Gwajima akiitwa kwenye tume za maadili za bunge na CCM na kuadhibiwa kwa kuhoji umadhubuti wa chanjo wenzetu kule Marekani ni tofauti kabisa.
Mwanamuziki Minaj baada ya kugomea chanjo kutokana na ushuhuda wa ndugu yake kuvimba korodani baada ya kuchanjwa, serikali ya nchi yake ya Marekani imemualika Ikulu ili akaelimishwe kwa upana kuhusiana na chanjo ya covid 19.
Mungu ni mwema wakati wote!
HAHAHAAAAAAAAAKwa i Rais wa sasa na aliyepita si washasema sisi tuna demokrasia yetu tofauti na huko mnakokutaja!!
Kuna tofauti kubwa kati ya dunia ya kwanza na hii yetu ya third.
Wakati askofu Gwajima akiitwa kwenye tume za maadili za bunge na CCM na kuadhibiwa kwa kuhoji umadhubuti wa chanjo wenzetu kule Marekani ni tofauti kabisa.
Mwanamuziki Minaj baada ya kugomea chanjo kutokana na ushuhuda wa ndugu yake kuvimba korodani baada ya kuchanjwa, Serikali ya nchi yake ya Marekani imemualika Ikulu ili akaelimishwe kwa upana kuhusiana na chanjo ya covid 19.
Mungu ni mwema wakati wote!
Kupunguzwa makali hayo kumethibitishwa na nani?Jifunze ukataaji wa Minaji pia na ukataaji wa Gwajima na contents zake. Hatua za kuchukua pia zinategemea umbwiga na theories ambazo unazileta zisizo na kichwa wala miguu. Unatumia influnce yako kutoa taarifa usizo na uhakika au ushahidi wa kitaaluma ili kupotosha watu.
Nikiuliza tu swali la jumla:
Kama mtu aliyechanjwa chanjo ambayo ni sehemu iliyopunguzwa makali ya kiumbe husika baada ya miaka miwili atakufa au atakuwa zombi au hatazaa, Je aliyepata kuumwa baada ya kukipata kiumbe kizima/Corona baada ya hiyo miaka miwili unamweleza nini juu ya yaliyotajwa?
Kupunguzwa makali hayo kumethibitishwa na nani?
Au ni siasabiashara katikati ya ugonjwa?!!!
Gwajima ashitakiweKuna tofauti kubwa kati ya dunia ya kwanza na hii yetu ya third.
Wakati askofu Gwajima akiitwa kwenye tume za maadili za bunge na CCM na kuadhibiwa kwa kuhoji umadhubuti wa chanjo wenzetu kule Marekani ni tofauti kabisa.
Mwanamuziki Minaj baada ya kugomea chanjo kutokana na ushuhuda wa ndugu yake kuvimba korodani baada ya kuchanjwa, Serikali ya nchi yake ya Marekani imemualika Ikulu ili akaelimishwe kwa upana kuhusiana na chanjo ya covid 19.
Mungu ni mwema wakati wote!
Mtaalamu mmoja wa medical aliyejikita kwenye vinasaba alishanishawishi kwenye maelezo yake bwashee.Haya ndiyo mambo ya msingi, nenda kajifunze chanjo zoote/yoyote unazozijua nini hasa?
Pia soma drugs discovery and development, jikite pia kusoma safety of drug molecules during clinical trials and its stages.
Tembelea angalau TMDA upate kujua wanafanyiaje kazi dawa zoote unazozitumia Tanzania hii, hata hiyo Paracetamol au clinical trial moja hapa Tanzania mfano: IHI ujifunze mambo yanaendeshwaje huko.
Soma requirements for a new drug/vaccine/medical device to be introduced into the market in Tanzania under TMDA.
Kama leo huiamini TMDA basi ujue tangu utoto wako mpaka hapo ulipo, umetumia kemikali za sumu kwani ndo wamekufikisha hapo ulipo na ujanja wako unaouona unao. Tafakari!!
Ukimaliza uje na lolote lenye tashwishi.
Mtaalamu mmoja wa medical aliyejikita kwenye vinasaba alishanishawishi kwenye maelezo yake bwashee.
Kwamba binadamu alianzia Afrika na baadae ndio wakaanza kutoka nje ya bara wakiwa ndugu kwa ndugu na wakaenda huko na kuzaliana.
Hivyo wakawa na vinasaba vinabyowiana tena ni dhaifu ila Afrika vinasaba vyetu vimeingiliana mno kutoka Pembe moja hadi nyingine yaani Bukoba hadi Mtwara ndio maana tuko very strong.
Akasisitiza kuwa kwa udhaifu wao wale wahamaji ambao hata ngozi zao zimeungua ndio wenye ulazima wa chanjo.
Afrika huathirika zaidi na magonjwa ya kutengeneza siyo ya asili.