TANZIA Aliyekua Afisa elimu Wilaya ya Magu ndg Jesse Kaanyuma afariki dunia hospitali ya Muhimbili

TANZIA Aliyekua Afisa elimu Wilaya ya Magu ndg Jesse Kaanyuma afariki dunia hospitali ya Muhimbili

kaitamarogo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2016
Posts
461
Reaction score
495
Aliye kuwa afisa elimu Wilaya ya Magu na baadae kuhamishiwa Dodoma makao makuu ndg Jesse Kaanyuma amefariki jioni hii katika hospitali ya taifa Muhimbili.

Ni taarifa zilizodhibitika kutoka kwa ndugu wa karibu kwenye familia kwa pamoja tunasema poleni walioguswa na msiba huu mzito
 
Mwalimu wa Wilaya ni mtu mdogo sana kumtolea tanzia JF unless awe alifanya jambo lililoleta impact kitaifa au aina ya kifo chake.
Nilipoona heading, nikajiuliza sasa kama kila mtumishi awe posted humu si jukwaa litajaa tanzia tu! Nikaona maybe there's something more about the guy mbali ya kuwa Afisa Elimu, na ndipo nikafungua nione what's so special about him!

Hadi sasa bado nimeduwaa!!!

All in all, Rest In Peace Mwalimu!!!
 
Mwalimu wa Wilaya ni mtu mdogo sana kumtolea tanzia JF unless awe alifanya jambo lililoleta impact kitaifa au aina ya kifo chake.
Usisahau kwamba kuna wanafunzi wake, ndugu, jamaa na marafiki ambao hii taarifa itawasaidia kujua kilichomfika
 
Nilipoona heading, nikajiuliza sasa kama kila mtumishi awe posted humu si jukwaa litajaa tanzia tu! Nikaona maybe there's something more about the guy mbali ya kuwa Afisa Elimu, na ndipo nikafungua nione what's so special about him!

Hadi sasa bado nimeduwaa!!!

All in all, Rest In Peace Mwalimu!!!
Mbona kuna habari au nyuzi nyingine ni za kipuuzi sana na zinaanzishwa kila uchwao?
 
Ni Mwanadamu na wote tuko sawa, tuna nafasi sawa hapa JF. Au Maxence kaweka sifa za tanzia ya nani iwekwe na ya nani isiwekwe humu?
Binadamu Ni sawa mbele ya Sheria tu!
 
Back
Top Bottom