TANZIA Aliyekua Afisa elimu Wilaya ya Magu ndg Jesse Kaanyuma afariki dunia hospitali ya Muhimbili

TANZIA Aliyekua Afisa elimu Wilaya ya Magu ndg Jesse Kaanyuma afariki dunia hospitali ya Muhimbili

R. I. P
LAKINI alikuwa ni nani tofauti na afisa elimu?, Mwenye taarifa za kina, ajazie jazie, naona Kama kuna tusichojua nyuma ya pazia
 
Mwalimu wa Wilaya ni mtu mdogo sana kumtolea tanzia JF unless awe alifanya jambo lililoleta impact kitaifa au aina ya kifo chake.
Wewe ni Mgeni Kwenye Utumishi wa umma, kwa taarifa yako Afisa Elimu Wilaya ni kiongozi mkubwa hasa ukizingatia idadi ya watu anaowaongoza kuanzia waalimu hadi wanafunzi wa chekechea, msingi na Sekondari. Sikuelewi unaposema eti ni MTU Mdogo sana. Acha dharau wewe JUHA!!
RIP YESSE!! Mimi siyo Mwalimu lakini niliwahi kufanya naye Kazi Mkoani Mara.
 
Mwalimu wa Wilaya ni mtu mdogo sana kumtolea tanzia JF unless awe alifanya jambo lililoleta impact kitaifa au aina ya kifo chake.Per

Mwalimu wa Wilaya ni mtu mdogo lsana kumtolea tanzia JF unless awe alifanya jambo lililoleta impact kitaifa au aina ya kifo chake.
Perhaps marehemu alikuwa na undugu na one of the modetators, you never know
 
Aliye kuwa afisa elimu Wilaya ya Magu na baadae kuhamishiwa Dodoma makao makuu ndg Jesse Kaanyuma amefariki jioni hii katika hospitali ya taifa Muhimbili.

Ni taarifa zilizodhibitika kutoka kwa ndugu wa karibu kwenye familia kwa pamoja tunasema poleni walioguswa na msiba huu mzito
Vip tena Corona umerudi tena nn? Maana naona watu weanza kusepa sepa tena
 
Huyu marehemu alikuwa ni mhaya maarufu pale magu kama DEO baadae Geita, kahama dc kisha wizara ya elimu.
aliwah kufundsha tarime sek.mke wake alikuwa mkufunz pale bunda ttc..hizo ndo nyama za kujazia BASI
 
Back
Top Bottom