kaitamarogo
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 461
- 495
Upo lumumba?RIP mbele yetu nyumba yako.
Labda uzito niliouona ni hapo kwenye neno "KAANYUMA!"Mwalimu wa Wilaya ni mtu mdogo sana kumtolea tanzia JF unless awe alifanya jambo lililoleta impact kitaifa.
Mkuu so sad, am done.Upo lumumba?
Umewaza kama mimi mkuu.Mwalimu wa Wilaya ni mtu mdogo sana kumtolea tanzia JF unless awe alifanya jambo lililoleta impact kitaifa au aina ya kifo chake.
Kifo hakina mdogo. Style ni moja tu pumzi kuacha mwili.Mwalimu wa Wilaya ni mtu mdogo sana kumtolea tanzia JF unless awe alifanya jambo lililoleta impact kitaifa au aina ya kifo chake.
Nilipoona heading, nikajiuliza sasa kama kila mtumishi awe posted humu si jukwaa litajaa tanzia tu! Nikaona maybe there's something more about the guy mbali ya kuwa Afisa Elimu, na ndipo nikafungua nione what's so special about him!Mwalimu wa Wilaya ni mtu mdogo sana kumtolea tanzia JF unless awe alifanya jambo lililoleta impact kitaifa au aina ya kifo chake.
Usisahau kwamba kuna wanafunzi wake, ndugu, jamaa na marafiki ambao hii taarifa itawasaidia kujua kilichomfikaMwalimu wa Wilaya ni mtu mdogo sana kumtolea tanzia JF unless awe alifanya jambo lililoleta impact kitaifa au aina ya kifo chake.
Ni Mwanadamu na wote tuko sawa, tuna nafasi sawa hapa JF. Au Maxence kaweka sifa za tanzia ya nani iwekwe na ya nani isiwekwe humu?Mwalimu wa Wilaya ni mtu mdogo sana kumtolea tanzia JF unless awe alifanya jambo lililoleta impact kitaifa au aina ya kifo chake.
Mbona kuna habari au nyuzi nyingine ni za kipuuzi sana na zinaanzishwa kila uchwao?Nilipoona heading, nikajiuliza sasa kama kila mtumishi awe posted humu si jukwaa litajaa tanzia tu! Nikaona maybe there's something more about the guy mbali ya kuwa Afisa Elimu, na ndipo nikafungua nione what's so special about him!
Hadi sasa bado nimeduwaa!!!
All in all, Rest In Peace Mwalimu!!!
Hata mimi nimeshangaa kidogo hapa.Mwalimu wa Wilaya ni mtu mdogo sana kumtolea tanzia JF unless awe alifanya jambo lililoleta impact kitaifa au aina ya kifo chake.
Binadamu Ni sawa mbele ya Sheria tu!Ni Mwanadamu na wote tuko sawa, tuna nafasi sawa hapa JF. Au Maxence kaweka sifa za tanzia ya nani iwekwe na ya nani isiwekwe humu?