Aliyekua mume wa Zari, Ivan hoi mahututi hospitali

Ahahahahaaaaa

We mkali.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aaaa nundu Cham,nundu gani ya instagram nunduu,sina kukuru kichwan full viroba,uliyediss kwa vidole subiri utaliwa bogaa
 
Ha ha haa...ww na ngabu nyote nawamudu....nileteeni tigo zenu....nizichakaze...naona mna hasira za mimba changa
Unawamudu mafala wenzio,,Acha mazoeaa dogo au unaona raha navyokujibu nini,basi furahia leo utaota
 
Aaaa nundu Cham,nundu gani ya instagram nunduu,sina kukuru kichwan full viroba,uliyediss kwa vidole subiri utaliwa bogaa
Ayayayayaaa.....


Vipi mkifanya kolabo?

Ngoja niwasiliane na dogo nione kama itawezekana [emoji23]
 
Aaaa nundu Cham,nundu gani ya instagram nunduu,sina kukuru kichwan full viroba,uliyediss kwa vidole subiri utaliwa bogaa
Wacha maneno yako.....njoo nikutanue hizo bangiri zako huko nyuma....utanipenda tu ...trust me.....hata wenzio walinitukana sana....sasa hv nawavuta kama mlenda tu.....ha ha haaa
 
Chanzo cha heart Attack ni nini??

[HASHTAG]#AuguePoleIvan[/HASHTAG]
Though I am not a doctor....lakini kwa uelewa wangu maana tulishawahi kuwa na wagonjwa wa namna hiyo majumbani kwetu....kwa maneno ya hao wataalam.....heart attack inasababishwa na moyo kushindwa kusukuma damu......vizuri...pumping.....kutokana na mafuta kujaa kwenye mirija ya kupitishia damu....lakini still unaweza uka google kupata mawili matatu...kwa faida ya kuongeza ufahamu
 
Poapoa Ras Amani sana
 

Kwa hiyo waliokulana kishkaji walivyopeana mimba wakatemana haina shida
 
Mola amtetee apone! Ana hema mwenyewe sio mashine atapona tu!
 
Kuachana sio mwisho wa mahusiano mazur kati ya watu waliowah kupendana
Ivan hakuwahi fikiri Zari wud be this happy!
hakuwahi kuwa na furaha tena after their breakup!
INAUMA WEWE!
MKEO WATT WATATU!
ANAZAA NA DOGO TUU,UNAJUA LABBA MTOOT MMOJA ATARUDI!
HEEEEEEEEEEEEE WA PIIIIILI! na kila siku anakuonyesha alivo happie?
Weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh!
 
Hiyo Ivan ana kishimba .. Anapiga dili gani zinampa mi dola hivo?
 
Wabongo nomaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu kabla ya mond, Zari alishadate na watu kibao ikiwemo josee chameleone, farouk na mwanamuziki wa Psquare. Huku Ivan nae akibadilisha wanawake.

Ndiyo aje kuchukia kwa mond? Hapana asisingiziwe kwa hilo Zari na Mumewe wanashirikiana vizuri tu, tushazoea wabongo tukiachana ni bifu bifu.

Ni maradhi tu, Mungu amponye arudi kama zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…