ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Nainunua point yako kwa bei kubwa mnoPole kwa Ivan, Ila kiukweli mimi Mungu hakunipa moyo wa kuoa mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine, off course ni haki yake kumjulia hali mtu aliyezaa nae watoto ila huo moyo wa kumuona akienda hospital kumuona mme wake wa zamani Mungu alininyima, siwezi kabisa kuvumilia, mlioachwa na waume zenu na bado wako hai mtanisamehe kwa kweli.