Aliyekua mume wa Zari, Ivan hoi mahututi hospitali

Aliyekua mume wa Zari, Ivan hoi mahututi hospitali

Pole kwa Ivan, Ila kiukweli mimi Mungu hakunipa moyo wa kuoa mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine, off course ni haki yake kumjulia hali mtu aliyezaa nae watoto ila huo moyo wa kumuona akienda hospital kumuona mme wake wa zamani Mungu alininyima, siwezi kabisa kuvumilia, mlioachwa na waume zenu na bado wako hai mtanisamehe kwa kweli.
Nainunua point yako kwa bei kubwa mno
 
Aisee zitakuwa ndumba za mtoto wa Kigoma ili amuue na arithi mke, watoto wa Ivan na mali za mabilioni za Ivan .

Mapovu ruksa!
 
Dai ni mwanaume sio mbinafsii,,mim nnao wanne jipange sawa
Aisee kwa hiyo ....hiyo kitu yako ina ubia....kuna shareholders....kwa kifupi ...kwa lugha ya kiswahili sanifu ww ni mayala....ooh what a https://jamii.app/JFUserGuide
 
Ile hazina aliyo jiwekea kwa Mungu ya kusaidia wasio jiweza ndio itakayo muokoa hakika uhai ungenunuliwa sijui ingekuaje kwa kajamba nani get well soon ivan
 
Wewe mama yako kakuzaa peke yako sio kama kawazaa watano ni malaya nae,,,ukute hapo ulipo ni shoga na ******** na kila rika,,,halaf usizoee kuqoute watu ambao huna nao mazoea f....u
Nundu cham nundu cham
Nundu gani ya Instagram
Ayşe ayee
 
Wewe mama yako kakuzaa peke yako sio kama kawazaa watano ni malaya nae,,,ukute hapo ulipo ni shoga na ******** na kila rika,,,halaf usizoee kuqoute watu ambao huna nao mazoea f....u
Niachie k yako kwa nusu saa tu utapata majibu..kama mimi ni shoga ama laa....hapa kwenye cyber space ....huwezi mzuia mtu ku quote....ukitaka tusikuquote dont comment....pumba.v
 
He'll pull through...
Lakini baada ya hapo ainvest kwenye mazoezi.
Sio kula bata tu,na kufuga fuga mafuta mwilini.
 
Back
Top Bottom