Pamoja..ingawa nimecheka sana comment yako..maji na Mafuta kisayansi yanachanaganyikana mkuu.kuna kitu kinaitwa emulsion.OK..ila tuko pamojaMkuu hope upo sahihi maana mie na sayansi ni maji na mafuta
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pole kwa Ivan, Ila kiukweli mimi Mungu hakunipa moyo wa kuoa mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine, off course ni haki yake kumjulia hali mtu aliyezaa nae watoto ila huo moyo wa kumuona akienda hospital kumuona mme wake wa zamani Mungu alininyima, siwezi kabisa kuvumilia, mlioachwa na waume zenu na bado wako hai mtanisamehe kwa kweli.
Unahisi huyo Ivan atamfanya nn Zari pale alipo lala?Pole kwa Ivan, Ila kiukweli mimi Mungu hakunipa moyo wa kuoa mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine, off course ni haki yake kumjulia hali mtu aliyezaa nae watoto ila huo moyo wa kumuona akienda hospital kumuona mme wake wa zamani Mungu alininyima, siwezi kabisa kuvumilia, mlioachwa na waume zenu na bado wako hai mtanisamehe kwa kweli.
Kuna ulazima?Dai mbona hajaenda
Pamoja..ingawa nimecheka sana comment yako..maji na Mafuta kisayansi yanachanaganyikana mkuu.kuna kitu kinaitwa emulsion.OK..ila tuko pamoja
Nafkir hapa kwa hiliPole kwa Ivan, Ila kiukweli mimi Mungu hakunipa moyo wa kuoa mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine, off course ni haki yake kumjulia hali mtu aliyezaa nae watoto ila huo moyo wa kumuona akienda hospital kumuona mme wake wa zamani Mungu alininyima, siwezi kabisa kuvumilia, mlioachwa na waume zenu na bado wako hai mtanisamehe kwa kweli.
Noo hyo iko clear...Dokta labda alimaanisha tension kisha ikaleta blood pressure
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hasa si ana umwa, anaenda kumcheki?
tena inabid na wewe mume mwenzie uende kumchek
Haya mkuuu...Hio sayansi inadanganya saa nyingine,hebu tafuta mafuta yalichemka umwagie maji uone muziki wake. Kwetu maji hayachanganyiki na mafuta
poa asee, umepotea sana bro.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Zam ya domo hii cjui kama
Ataenda kumuona
Za masku mkuu