Aliyekua mume wa Zari, Ivan hoi mahututi hospitali

Mkuu hope upo sahihi maana mie na sayansi ni maji na mafuta
Tension??? Kuna tension headache ila sio kwa damu mkuu.watakuwa walikosea ...sahihi ni hypertension
 
Pole kwa Ivan, Ila kiukweli mimi Mungu hakunipa moyo wa kuoa mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine, off course ni haki yake kumjulia hali mtu aliyezaa nae watoto ila huo moyo wa kumuona akienda hospital kumuona mme wake wa zamani Mungu alininyima, siwezi kabisa kuvumilia, mlioachwa na waume zenu na bado wako hai mtanisamehe kwa kweli.
 
Mkuu hope upo sahihi maana mie na sayansi ni maji na mafuta
Pamoja..ingawa nimecheka sana comment yako..maji na Mafuta kisayansi yanachanaganyikana mkuu.kuna kitu kinaitwa emulsion.OK..ila tuko pamoja
 
Pole kwa Ivan, Ila kiukweli mimi Mungu hakunipa moyo wa kuoa mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine, off course ni haki yake kumjulia hali mtu aliyezaa nae watoto ila huo moyo wa kumuona akienda hospital kumuona mme wake wa zamani Mungu alininyima, siwezi kabisa kuvumilia, mlioachwa na waume zenu na bado wako hai mtanisamehe kwa kweli.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hasa si ana umwa, anaenda kumcheki?
tena inabid na wewe mume mwenzie uende kumchek
 
Pole kwa Ivan, Ila kiukweli mimi Mungu hakunipa moyo wa kuoa mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine, off course ni haki yake kumjulia hali mtu aliyezaa nae watoto ila huo moyo wa kumuona akienda hospital kumuona mme wake wa zamani Mungu alininyima, siwezi kabisa kuvumilia, mlioachwa na waume zenu na bado wako hai mtanisamehe kwa kweli.
Unahisi huyo Ivan atamfanya nn Zari pale alipo lala?
 
Hio sayansi inadanganya saa nyingine,hebu tafuta mafuta yalichemka umwagie maji uone muziki wake. Kwetu maji hayachanganyiki na mafuta
Pamoja..ingawa nimecheka sana comment yako..maji na Mafuta kisayansi yanachanaganyikana mkuu.kuna kitu kinaitwa emulsion.OK..ila tuko pamoja
 
Pole kwa Ivan, Ila kiukweli mimi Mungu hakunipa moyo wa kuoa mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine, off course ni haki yake kumjulia hali mtu aliyezaa nae watoto ila huo moyo wa kumuona akienda hospital kumuona mme wake wa zamani Mungu alininyima, siwezi kabisa kuvumilia, mlioachwa na waume zenu na bado wako hai mtanisamehe kwa kweli.
Nafkir hapa kwa hili
Wote tunatembelea nyota moja
 
Back
Top Bottom