Aliyekua mume wa Zari, Ivan hoi mahututi hospitali

Pamoja..ingawa nimecheka sana comment yako..maji na Mafuta kisayansi yanachanaganyikana mkuu.kuna kitu kinaitwa emulsion.OK..ila tuko pamoja

Shukrani dokta. Maana masuala haya mpaka niumwe ndio nitajua maana yake
Noo hyo iko clear...
HYPOTENSION ni Low blood pressure na
HYPERTENSION ni high blood pressure
 
Hypotension sio high blood pressure .hypotension -low blood pressure na hypertension ni high blood pressure.
 
Hypotension si high blood pressure, no low
 
Hakuna Neema kubwa kama afya!!! Nikifikilia ile mikogo kule instagram. ........Allah ampe nafuu inshaallah.
Yale Maisha yake mkuu kama mikogo yake tu ...kwani mafukara wangap wanapata magonjwa mabaya zaidi ya hayo ??
 
Ndio maana sipendi kuoa Mke mwenye Mtoto. Muda wowote anaweza kukuponyoka arudi kwa mzazi mwenzie
 
Wewe ni mwanaume wa shoes. Safi sana
 
Hypertension not hypotension if it was to mean a HIGH BLOOD PRESSURE!
 
Unahisi huyo Ivan atamfanya nn Zari pale alipo lala?
Hata awe na uwezo wa kumfanya kitu, kinachouma hapo ni kuona moyo wa mtu unayempenda ukionesha mapenzi kwa aliyekwisha achana nae, hata kama hawafanyi kitu ila ile sura ya huzuni ya mke wako kwa mme wake wa zamani haivumiliki kuiangalia, nina moyo wa nyama sio wa chuma.
 
Aisee bora hata angekua anamuona afu awe anacheka, yani umkute anahuzunika kabisa afu uvumilie, wakati umemnunulia na nyumba ya Milioni mia 4!!!!
ishu ni kuwa jamaa ana umwa na ni mzaz mwenzie inabid akamcheki, huyo Ivan wale watoto wengine ndio anawatunza yeye, so lazima hata domo apige kimya kama yeye mjanja awatunze wote watano tuone
 
Ni baba watoto wake lazima ahuzunike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…