Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Ila tuacheni unafiki mimi mzazi mwenzangu tuliyeachana hatuwezi kuwa maadui tukikutana njiani tutasalimiana ila hayo macare sitaseza, hata kumpogia simu tu sio rahisi. Tuko tofauti
Kwa situation ya zari ni ngumu,wana watoto watatu malezi yapo kwa wote.
Mume mwenzie![emoji23] [emoji23] [emoji23] Ndio maana wengi hawakubali.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hasa si ana umwa, anaenda kumcheki?
tena inabid na wewe mume mwenzie uende kumchek
Una Roho mbaya sanawaambie waganda wenzie wamuombee
Haaa haa..mkuu ni mapenzi yamemuelemea sio ujingaaMoyo wake umechanganyika na ujinga fulani hivi
Kwangu hapana aisee hata Beyonce siwezi kumpenda kimapenzi hata aje kulia na kugaragara pale kwetu ubaruku kwenye mashamba ya mpunga, Huo moyo sina kwa kweli, na huo ujinga pia Mungu alininyima, kuna mijitu inafikia hatua ya kulambana sehemu ya haja kubwa na kusingizia eti mapenzi, kupenda kwa moyo ndio kukufanye mlambane ile sehemu kweli!!!!!!!!!!!!!!!!????????????????
hahahahaMume mwenzie![emoji23] [emoji23] [emoji23] Ndio maana wengi hawakubali.
wamezaa naye watoto wa tatu, nadhan kuwalea kuna hutaj ukaribu flan amazing kama huoHaina ugumu huo ukaribu naye ni too much hadi kafight anunuliwe nyumba huko loooh. Kwani ukilea watoto ada lipa huko shuleni, ya matumizi rusha kwa simu/ bank simple tu kuandamanaaa sio bahna.
Zari alimuacha Ivan na kumfuata Diamond kisa hela?!!!!!Hawa wanawake ni maadui wakubwa huyu Zari mbali na kuzaa na huyu jamaa watoto 3 akaamua kumkimbia sababu ya pesa za Diamond. Jamaa stress imezidi mpaka amepata stroke.
Men always becareful with women hata kama utaishi naye fifty years siku moja anaweza kukugeuka.
Co kirahis hvo unajuaDai hata akienda ataenda kimya kimya bila picha. Pale pagumu kutafutia kiki
Loo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jf ina vitukoSamahani hata akikupenda Kingereza unakijua [emoji3]