Aliyekua mume wa Zari, Ivan hoi mahututi hospitali

Aliyekua mume wa Zari, Ivan hoi mahututi hospitali

Ila tuacheni unafiki mimi mzazi mwenzangu tuliyeachana hatuwezi kuwa maadui tukikutana njiani tutasalimiana ila hayo macare sitaseza, hata kumpogia simu tu sio rahisi. Tuko tofauti
 
Kwa situation ya zari ni ngumu,wana watoto watatu malezi yapo kwa wote.

Haina ugumu huo ukaribu naye ni too much hadi kafight anunuliwe nyumba huko loooh. Kwani ukilea watoto ada lipa huko shuleni, ya matumizi rusha kwa simu/ bank simple tu kuandamanaaa sio bahna.
 
Ila dai ana moyo wa kipekee
Haina ugumu huo ukaribu naye ni too much hadi kafight anunuliwe nyumba huko loooh. Kwani ukilea watoto ada lipa huko shuleni, ya matumizi rusha kwa simu/ bank simple tu kuandamanaaa sio bahna.
 
Daah inasikitisha sana hapo mawazo kwa zari ni miamia kujiuliza kama itakuwajeeee?watoto watano sasa inabidi asimamie show.Lakini Mungu tu amponye huyo baba inasikitisha.Siwezi sana kumujudge Zari huwezi kujua wana mkataba gani na Mondi.....Na Mondi tangu day one ameambiwaje na Zari.
 
Kwangu hapana aisee hata Beyonce siwezi kumpenda kimapenzi hata aje kulia na kugaragara pale kwetu ubaruku kwenye mashamba ya mpunga, Huo moyo sina kwa kweli, na huo ujinga pia Mungu alininyima, kuna mijitu inafikia hatua ya kulambana sehemu ya haja kubwa na kusingizia eti mapenzi, kupenda kwa moyo ndio kukufanye mlambane ile sehemu kweli!!!!!!!!!!!!!!!!????????????????

Samahani hata akikupenda Kingereza unakijua [emoji3]
 
Hawa wanawake ni maadui wakubwa huyu Zari mbali na kuzaa na huyu jamaa watoto 3 akaamua kumkimbia sababu ya pesa za Diamond. Jamaa stress imezidi mpaka amepata stroke.
Men always becareful with women hata kama utaishi naye fifty years siku moja anaweza kukugeuka.
 
Zari alimuacha Ivan na kumfuata Diamond kisa hela?!!!!!

Hivi unamjua Ivan wewe???!!! Huyo Diamond anaweza kuwa Bodyguard wake ... Mwaka Jana Diamond Aliwekewa Mezani Dolla 500,000 akafanye show kwenye sherehe ya mtoto wa Ivan ambae yupo uingereza kwenye shule ya soka ya Manchester utd. .. Mtanzania mwenzetu aligoma akasingizia ana show marekani, kama unakumbuka vizuri...

Uliza watanzania wanaoishi South Africa ndio watakwambia Huyo MTU Ivan ni nani ....
 
Back
Top Bottom