Kabisaa ,,we unawezaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hasa si ana umwa, anaenda kumcheki?
tena inabid na wewe mume mwenzie uende kumchek
Dai ni mwanaume sio mbinafsii,,mim nnao wanne jipange sawabora mtoto bro, watoto wa tatu!! man! diamond got some balls out there.
jamaa huwa namsifu
Mkuu, kuna watu hawajui tofauti ya Hypo na Hyper.. Lugha ya watu hii!Hiki chanzo nacho balaa. Eti hypotension ni high blood pressure.????!!!! Hypertension ndo high blood pressure
Tuache kukosoana jaman! Lakn si umemwelewa alichomanisha? Hakuna alie mkamilifu wa lugha yeyote ile.Hiki chanzo nacho balaa. Eti hypotension ni high blood pressure.????!!!! Hypertension ndo high blood pressure
hahahaDai ni mwanaume sio mbinafsii,,mim nnao wanne jipange sawa
Eee namuuguza kidogo tu,,,mbona Dai hazeeki jamaniii acha uvivuhahaha
yaan watoto wa nne umri huu, si ntazeeka jaman!? na wewe huwa una muuguza baba yao?
hahahahaEee namuuguza kidogo tu,,,mbona Dai hazeeki jamaniii acha uvivu
Hhhhhaaaaaa,,,kuna movie niliona bibie aliolewa kwingine sasa ex wake alikuwa akija kumuona mtoto nyumban kwa baby mama wake alipoolewa tena anapitiliza hadi room kwa mtoto,,hahahaha
hapana kwa kweli, mi mwenyewe moyo wa bwana platnumz sijajua una handle vipi hiyo hali
ila mie ntazeeka
siyo mchezo yataka moyo, ila huwa nashindwa kumuelewa mdogo wangu mondi ana moyo flan amazing kwa jinsi wanavoish na Zari na IvanHhhhhaaaaaa,,,kuna movie niliona bibie aliolewa kwingine sasa ex wake alikuwa akija kumuona mtoto nyumban kwa baby mama wake alipoolewa tena anapitiliza hadi room kwa mtoto,,
Dai ana moyo wa kipekee nampa 99%siyo mchezo yataka moyo, ila huwa nashindwa kumuelewa mdogo wangu mondi ana moyo flan amazing kwa jinsi wanavoish na Zari na Ivan
hahahaDai ana moyo wa kipekee nampa 99%
Kukosoana ni sehemu ya elimuTuache kukosoana jaman! Lakn si umemwelewa alichomanisha? Hakuna alie mkamilifu wa lugha yeyote ile.
Kumbuka we ni mwajuma ndala ndefu na yule ni zari bossladyIla tuacheni unafiki mimi mzazi mwenzangu tuliyeachana hatuwezi kuwa maadui tukikutana njiani tutasalimiana ila hayo macare sitaseza, hata kumpogia simu tu sio rahisi. Tuko tofauti
We una roho ya kimaskini tu, kwa taarifa huyo Ivan bado anaplay part kubwa tu kumlea huyo demu amaintain status.Mimi acha niseme tu na huo ndio msimamo wangu hadi naangia kaburini. Siji kuoa mwanamke mwenye mtoto.