Aliyekua mume wa Zari, Ivan hoi mahututi hospitali

Aliyekua mume wa Zari, Ivan hoi mahututi hospitali

Hiki chanzo nacho balaa. Eti hypotension ni high blood pressure.????!!!! Hypertension ndo high blood pressure
Tuache kukosoana jaman! Lakn si umemwelewa alichomanisha? Hakuna alie mkamilifu wa lugha yeyote ile.
 
hahahaha
hapana kwa kweli, mi mwenyewe moyo wa bwana platnumz sijajua una handle vipi hiyo hali
ila mie ntazeeka
Hhhhhaaaaaa,,,kuna movie niliona bibie aliolewa kwingine sasa ex wake alikuwa akija kumuona mtoto nyumban kwa baby mama wake alipoolewa tena anapitiliza hadi room kwa mtoto,,
 
Hhhhhaaaaaa,,,kuna movie niliona bibie aliolewa kwingine sasa ex wake alikuwa akija kumuona mtoto nyumban kwa baby mama wake alipoolewa tena anapitiliza hadi room kwa mtoto,,
siyo mchezo yataka moyo, ila huwa nashindwa kumuelewa mdogo wangu mondi ana moyo flan amazing kwa jinsi wanavoish na Zari na Ivan
 
Zari anafanya kwa sababu ya sale watoto.maana wale watoto ni wakubwa na wanaufahamu.wenyewe kwenye suala la watoto wana ushirikiano mno.ni vizuri muachane kiroho safi. Diamond aliijua situation Karla hajaingia kwenye mahusiano nae.
 
Back
Top Bottom