Aliyekubali Switch za bwawa la umeme la Rusumo Tanzania zikawekwe Rwanda ametumia akili zake ipasavyo?

Aliyekubali Switch za bwawa la umeme la Rusumo Tanzania zikawekwe Rwanda ametumia akili zake ipasavyo?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Nimepata taarifa zisizo rasmi kwamba eti lile bwawa la umeme la Rusumo linalojengwa huko Ngara Tanzania, eti switch zake za kuwashia na kusambazi umeme zinafungwa Rwanda.

Maana yake ni kwamba Tanzania itakuwa ikizalisha umeme, halafu huo umeme utasafiri hadi Rwanda, halafu Rwanda ndio itakua inawasha hizo Switch ili kuruhusu umeme uje Tanzania.

Je, kuna mantiki yeyote juu ya maamuzi kama haya? , kwahiyo siku tukipandisha ushuru bandarini kwa mizigo inayoenda Rwanda na wao wanatuzimia switch za umeme hadi tushike adabu, na umeme tunauzalisha wenyewe? Sasa nashangaa, Tanzania tulikosa pesa ya kununulia switch hadi kwenda kuomba mchango wa Rwanda na tugawane nao umeme nusu kwa nusu eti?

Mi nadhani kuwe na haja ya kupimana magonjwa ya akili kabla ya kupeana hizi wizara nyeti hasa za Nishati na madini.., video ina maelezo ya ziada



==========================
Update: 23/04/2023
Wenyewe wanajinadi kimataifa kwamba ni mradi wa Rwanda

 
Ni mradi wa ushirikiano baina ua nchi tatu yaani Tanzania, Rwanda na Burundi na wote wamechangia fedha. Wakizima switch na sisi tunazima mitambo ya kufua umeme...
Sasa wakituzimia switch kwa ugomvi wa kijinga tu, maana PK ni mtu wa visasi sana, huoni viwanda vinavyotegemea huo umeme hasa vya sukari vitapata shida sana, hiyo si ni sawa na uhujumu uchumi??!
 
For what I know, huo mradi sio wetu kwa 100% bali Mabeberu ndio wana-finance huo mradi kwa ajili ya Rwanda, Burundi na Tanzania!!

So, mwenye pesa zake ndo kaamua hivyo, HUTAKI, jenga mwenyewe kwa pesa zako... nyie si dona kantri bhana!!! Ukifanya hayo, ndo utaamua kuweka swichi popote pale hata kama kwenye ofisi za Lumumba!!
 
Back
Top Bottom