For what I know, huo mradi sio wetu kwa 100% bali Mabeberu ndio wana-finance huo mradi kwa ajili ya Rwanda, Burundi na Tanzania!!
So, mwenye pesa zake ndo kaamua hivyo, HUTAKI, jenga mwenyewe kwa pesa zako... nyie si dona kantri bhana!!! Ukifanya hayo, ndo utaamua kuweka swichi popote pale hata kama kwenye ofisi za Lumumba!!
Kuna upumbavu flan unaendelea saiv adi unawish km ungekua muandishi wa habar umnase kibao ukiskia anaropoka sifa za kijinga wakat ye mwenyewe ndo katoa takwimu zinazoonesha nani anastahili pongez
Mbaya zaidi, tuna Waandishi wa Habari wa ajabu sana!! Majuzi tu hapa nikakumbana na uzi wa Pascal Mayalla wa mwaka 2012 akielezea jinsi tunavyoibiwa kwenye mikataba ya gas na jinsi serikali ilivyoingia 23 PSA Contracts huku ikionesha hatutapata kitu!
Nikabaki kusikitika tu na kujiuliza kwamba "Hivi huyu Gwiji la Uandishi Pasco wa JF hafahamu kwamba by 2012 hapakuwa na mikataba ya uchimbaji wa gas bali hiyo ilikuwa ni ya utafutaji tu!!
Ina maana alikuwa hafahamu by 2012 kikubwa zaidi tulichokuwa nacho was just seismic data na hili tufahamu at which particular point kuna hiyo gas au mafuta, na yapo kwa kiasi gani kuona kama ni economically viable ilitakiwa kwanza kufanyika exploration"!
Mwandishi Nguli Pasco hakujua hilo, na sidhani kama alihangaika kutafuta kujua!
Hapo ndipo utapata picha ikiwa watu kama Pasco ambae I believe he's smarter kuliko waandishi wengi tu lakini bado anashindwa kutoa info za uhakika, na matokeo yake, Wananchi tumebaki kumeza uongo wa Wanasiasa na Watendaji wanaopenda kuwafurahisha Wakubwa!!

Af ndo unakuja kushangaa anashambuliwa mtu anaetetea maslahi ya wengi na mjinga km huyo anasurvive tu kuwatetea wanaoingia mikataba kwa maslahi binafsi na kwa wachache.
Hivi unaweza kusema nini kimekufanya utukane hapo?
Btw, hivi ungekuwa na akili timamu ungehoji suala la switch kuwa Rwanda wakati ni mradi wa nchi 3 kwa pamoja na kwahiyo hiyo switch lazima iwe kwenye moja ya hizo nchi?
Kwanini uone inastahili kuwa TZ na sio Rwanda au Burundi?
Nilichoelewa ni mradi wa kiushirika(tzed, rwanda na burundi) so, kila mmoja ameshirikishwa na kupata nafasi ya kuwa mmoja wa mradi hii ni kwa ajili ya security endapo washirika watakiuka makubaliano.
Nimeelewa mradi ulianza utekelezwaji 2014, lakin kilichonishangaza ni engineer kusifia awamu ya 5.... huu ndo upumbavu uliobakia kufutwa kwe vichwa vya wanaojiita wasomi wa nchi hii... mtu kama yule hachelewi kuchakachua data zozote zenye manufaa kwa anayemuongoza, mtu kama huyu hafai kupewa nafasi ya usimamiz wa mradi km huu kwa sababu ni rahisi hata kufanya hujuma kwa maslahi...
Vinginevyo napongeza uwepo wa mradi na tuutunze kwa msaada wenzetu watakaohudumiwa na mradi.
Hilo la kuweka switch ya kuwasha gari kwenye buti we unaona sawa tu , haha, halafu aliye kwenye buti ni mshindani na pengine future enemy, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kitendo cha kuingia ubia kuunda huo mradi tayari ni tatizo( km kweli ni r ni adui) so, km tayar ushaingia ubia na adui, maana yake mwizi siku zode lazima ajilinde( coz anajua mbinu za wizi)
Chkulia mfano mpo wawili na mmeiba almas, mwenzako anajua mahali pa kuuza almas, je utamuachia akae nayo?
Mbaya zaidi, tuna Waandishi wa Habari wa ajabu sana!! Majuzi tu hapa nikakumbana na uzi wa Pascal Mayalla wa mwaka 2012 akielezea jinsi tunavyoibiwa kwenye mikataba ya gas na jinsi serikali ilivyoingia 23 PSA Contracts huku ikionesha hatutapata kitu!
Nikabaki kusikitika tu na kujiuliza kwamba "Hivi huyu Gwiji la Uandishi Pasco wa JF hafahamu kwamba by 2012 hapakuwa na mikataba ya uchimbaji wa gas bali hiyo ilikuwa ni ya utafutaji tu!!
Ina maana alikuwa hafahamu by 2012 kikubwa zaidi tulichokuwa nacho was just seismic data na hili tufahamu at which particular point kuna hiyo gas au mafuta, na yapo kwa kiasi gani kuona kama ni economically viable ilitakiwa kwanza kufanyika exploration"!
Mwandishi Nguli Pasco hakujua hilo, na sidhani kama alihangaika kutafuta kujua!
Hapo ndipo utapata picha ikiwa watu kama Pasco ambae I believe he's smarter kuliko waandishi wengi tu lakini bado anashindwa kutoa info za uhakika, na matokeo yake, Wananchi tumebaki kumeza uongo wa Wanasiasa na Watendaji wanaopenda kuwafurahisha Wakubwa!!
Wanabodi, kwa hisani ya mwana jf mwenzetu, Pasco kama unavyofahamu ukiachilia mikopo inayotolewa na Benki chini ya dirisha la Sharia (ambapo akaunti ya akina haipati riba, na mikopo inayotolewa haitozwi riba), mikopo mingine yote hutozwa riba. Viwango vya riba huwa determined na factors nyingi...
Ni mradi wa ushirikiano baina ua nchi tatu yaani Tanzania, Rwanda na Burundi na wote wamechangia fedha. Wakizima switch na sisi tunazima mitambo ya kufua umeme...
Look at you!! Eti kutia watu hasira!! Yaani hapo ndo unataka kujifanya Mzalendo sana, au?! Hivi mradi wenyewe unaujua au ndo kwanza leo umeusikia na hapo hapo ukakurupuka kuja JF?!!
Nimekuuliza, mradi upo mpakani, na unahudumia nchi 3 kwa usawa; sasa kwanini ulitaka switch iwe Tanzania na siop Rwanda au Burundi?
Mradi umeajiri Watanzania wengi kuliko Warundi na Wanyarwanda collectively; unataka kusema Rwanda na Burundi hawajali maslahi yao?!
Si bora ungehoji kwanini HQ iwe Rwanda ingawaje justification ipo kutokana na project proximity na Rusumo... lakini unahoji switch!!!
Wanabodi, kwa hisani ya mwana jf mwenzetu, Pasco kama unavyofahamu ukiachilia mikopo inayotolewa na Benki chini ya dirisha la Sharia (ambapo akaunti ya akina haipati riba, na mikopo inayotolewa haitozwi riba), mikopo mingine yote hutozwa riba. Viwango vya riba huwa determined na factors nyingi...
Kaka yangu Pasco hivi sasa inabidi nikusamehe tu manake kuna siku nimeona interview yako moja hivi hadi nikajiuliza "Mbona huyu Pasco kazeeka haraka haraka hivi"!
Kuna wengine, hususani kama ulishawahi kupata ajali, basi huwa wanazeeka vibaya!!!
Sasa Pasco post yangu kwako nimezungumzia suala la gas, huku nikijikita na gas exploitation na sio bomba la gas... sasa suala la gas na bomba la gas wapi na wapi?!
Ulikuwa unajaribu kuwasilisha taarifa gani hasa?! I'm ready to argue anything lakini be specific manake naona umetoka nje ya mstari!! Au unaweza kufafanunua kidogo uhusiano uliopo kati ya hoja yangu na suala la Bomba la Gesi?
Af ndo unakuja kushangaa anashambuliwa mtu anaetetea maslahi ya wengi na mjinga km huyo anasurvive tu kuwatetea wanaoingia mikataba kwa maslahi binafsi na kwa wachache.
Na hivi sasa anayetetea maslahi ya wengi ndo anaonekana kibaraka wa mabeberu lakini anayetetea maslahi ya watia saini mikataba ndie wanamuita "mzalendo"!
Kaka yangu Pasco hivi sasa inabidi nikusamehe tu manake kuna siku nimeona interview yako moja hivi hadi nikajiuliza "Mbona huyu Pasco kazeeka haraka haraka hivi"!
Kuna wengine, hususani kama ulishawahi kupata ajali, basi huwa wanazeeka vibaya!!!
Sasa Pasco post yangu kwako nimezungumzia suala la gas, huku nikijikita na gas exploitation na sio bomba la gas... sasa suala la gas na bomba la gas wapi na wapi?!
Ulikuwa unajaribu kuwasilisha taarifa gani hasa?! I'm ready to argue anything lakini be specific manake naona umetoka nje ya mstari!! Au unaweza kufafanunua kidogo uhusiano uliopo kati ya hoja yangu na suala la Bomba la Gesi?
Wanabodi, Nimekutana na hii kitu, nimeisoma, sio tuu nimeshangaa, bali nimechoka, imeniacha hoi, ukisoma ukaona jinsi tunavyoibiwa rasilimali zetu, na wanaofanya tuibiwe, ni wenzetu tuliowapa dhamana ya kutuongoza, mtu unaweza kupata wazimu, ukarukwa na akili, ukikamata SMG, unaweza...
www.jamiiforums.com
Ya 2012, nimesema tumesaini PSA 21 za gesi huku hatuna sera ya gesi wala sheria, nikauliza tuna haraka gani?.
Wewe ukanichallenge kuwa mwaka huo hatukuhitaji sera wala sheria kwasababu gesi ilikuwa haijaanza kuchimbwa!. Nikakuwekea mkataba wa bomba la gesi kuonyesha Tanzania tumeanza kuchimba gesi zamani tangu Songo Songo, hivyo there is no excuse kwanini tusiwe na sera ya gesi na sheria ya gesi ndipo kugawe vitalu na kusaini hizo PSA!.
All and all, I'm over 50, nina wajukuu 5!, kwa watoto wangu wa kuzaa mwenyewe, hivyo mimi ni babu!.
Na kwa vile pia niliwahi pata ajali iliyohusisha kichwa, pia you never know.
P

Na kwa vile pia niliwahi pata ajali inayohisisha kichwa, pia you never know.
P
Tanzania kuna gas za "aina mbili"... aina ya kwanza ni ile ambayo iligunduliwa miaka ya 80 na aina ya pili ilianza kugunduliwa rasmi mwaka 2010.
Ile ya awamu ya kwanza, ilikuwa kiduchu tu; pale Songosongo na Mnazi Bay!! Hilo bomba unalosema wewe ni kwa ajili ya gas ya Mnazi Bay ambayo iligundulika back in 1980's!!
Kama utakumbuka, kabla ya suala la bomba, kule Mtwara kulikuwa na kampuni ya Artmas (am not sure with spellings) ambayo ilikuwa inazalisha umeme kwa kutumia gas ya Mnazi Bay a.k.a Msimbati lakini kwa bahati mbaya uchumi wa Lindi na Mtwara collectively haukuwa na uwezo wa ku-fully utilize umeme uliokuwa unazalishwa!!
Kutokana na uchumi wa Lindi na Mtwara kushindwa ku-utilize ule umeme at full capacity ndipo busara ikaonekana kusafirisha hiyo gas kutoka Mtwara to Dar es salaam ili umeme wake uingie kwenye grid ya taifa!!!
Hapa pia tukumbushane kejeli za Prof Sospeter Muhongo kwamba "Wafanyabiashara wa Tanzania hawana pesa ya kuwekeza kwenye gas industry"!! Muhongo hakuwa anamaanisha hiyo gas unayoisema wewe kwa sababu haikuwa nyingi kiasi cha kufikiria kuisafirisha na ndio maana ikatumika kuzalisha umeme tu!!
Gas aliyokuwa anaisema Muhongo ni hii ya awamu ya pili!!
Hii gas ya awamu ya pili, hadi in early 2000's ambacho tulikuwa nacho was just seismic data zikionesha UWEZEKANO wa uwepo wa mafuta na gas kwenye pwani ya Lindi na Mtwara lakini hatukufahamu hiyo gas exactly ilikuwa at which particular point na kwa kiasi gani!!!
It's like zile taarifa za TMA kwamba "Pwani ya kaskazini mashariki itanyesha mvua kubwa" lakini data hazisemi hiyo mvua itanyesha eneo gani hasa!!
So, kwenye gas industry unapokuwa na just seismic data, hatua inayofuata ni kuchimba visima vya UTAFUTAJI gas ili kufahamu hiyo gas exactly ipo point ipi hasa na kwa kiwango gani!!
Hapo sio kwamba unachimba gas bali unachimba kujiridhisha at which particular points ipo hiyo gas!! Na unapofanya hivyo, kuna 3 possible outcomes:-
1. No gas at all,
2. Gas ipo lakini but not economically viable kufanya extraction... meaning, hata kama ipo lakini ukiichimba hutaweza hata ku-cover extraction costs let alone kupata faida, na
3. Gas ipo ya kutosha and it's economically viable for further extraction!!
Outcome inapokuwa ama #1 or #2, hapo pesa mliyoingiza kufanya exploration inakuwa imeenda na maji, na kwa kawaida hiyo itakuwa zaidi ya 50 Billion kwa sababu hii gas ipo deep sea!!
Ukipata option #3, hapo eneo husika ndipo linakuwa declared kwamba ipo gas ya kutosha na kuingizwa kwenye takwimu, kisha mnahamia eneo lingine kuchimba kuangalia kama kuna gas (gas exploration) na sio kuchimba gas!!
Sasa basi, hilo zoezi lilianza mwaka 2000, na vitalu vya awali mnada wake ulifanyika Houston!! Again, huu haukuwa mnada wa kuuza vitalu vya kuchimba gas bali mnada wa kuuza vitalu vya kufanya exploration kutokana na available seisimic data!
Tangu mwaka 2000, declaration ya kwanza kwamba kweli gas ipo kwenye pwani ya Lindi na Mtwara ilikuwa mwaka 2010, na kama sikosei, ambao waliigundua ilikuwa kampuni ya Ophir!!!
That being said, hadi hiyo 2010 kulikuwa na kisima kimoja tu ambacho kili-confirm uwepo wa gas!!
More and more gas ilianza kugundulika from 2013, na kuanzia hapo ndipo takwimu zetu zikabadilika kutoka kwenye seismic data alone hadi kuwepo kwa at least 57 trillion cubic of feet of gas ambazo ziligundulika zaidi baada ya uuzaji wa vitalu back in 2012!!
Na baada ya kugundulika rasmi gas, ndipo 2015 bunge likapitisha zile sheria 3 ambazo upinzani walisusia kikao...
Na endapo utaratibu unafuatwa, sasa baada ya kupitishwa zile sheria ndipo lingefuata zoezi la uuzaji wa UCHIMBAJI GAS (sio utafutaji tena) kwa sababu hapo tayari mnakuwa mmeshafahamu ni wapi na wapi (particular area) kuna gas na kwa kiwango kipi!
Lakini kwa upande mwingine, punguzeni kusikiliza sana kauli za Wanasiasa bali tafuteni ukweli! In short, si kweli kwamba hakukuwa na sheria kwa sababu sheria iliwepo tangu mwaka 1980, tafuta "Petroleum (Exploration and Production) Act, 1980" ambayo ndiyo ilikuwa inatumika!!
Japo ni Joint project ila i hope so wataalamu wetu wamefanya feasibility study ya kutosha na Tayari plan B zitakuwa zipo mezani, mana hakuna kitu sensitive kama energy majirani wagombanapo, Ndio maana hata Power station huruhusiwi kupiga picha its very sensitive Rwanda kesho akiamka amewehuka trust me izo switch atabaki nazo kama urembo zipo hapo as symbolic kuonesha this is a joint project
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.