Ndugu yangu Tindo,
Unafanya kama hujui what's going on in this administration?!!
Mkopo unatoka Benki ya Dunia na African Development Bank!
Bank ya Dunia wenyewe hapa:-
Bank ya Dunia wanaendelea:-
Na African Development Bank hawa hapa chini:-
Kisha wanaendelea:-
Sasa kama wanataka kutuambia Tanzania ilikataa hilo fungu la WB na AfDB, ndo tunarudi na ule msemo maarufu wa "Akili za mbayuwayu changanya na zako" ila tu niweke sehemu ya Press Release ambayo ilitolewa June 2018 na Wasimamizi wa mradi wenyewe!
Sehemu ya hizo PR inasema:-
Sasa kama gharama za mradi ni USD 471M, na WB walitoa USD 340M na AfDB walitoa USD 121M, na hivyo kuwa 340+121 = USD 461 M, halafu tunaambiwa Tanzania tulitoa pesa zetu za ndani, ndo hapo sasa!!!
The question is: mbona kuna pungufu ya USD 10M?!!
Bila shaka hiyo USD 10M itakuwa ya feasibility study na mambo kama hayo kwa sababu nakumbuka back in 2006, AfDB walitoa, kama sikosei USD 4M