Aliyekubali Switch za bwawa la umeme la Rusumo Tanzania zikawekwe Rwanda ametumia akili zake ipasavyo?

Tatizo ni sehemu ya juu ya mwili wa binadam( kichwa)

Tukichelewa miaka 5 tena bila katiba mpya ,miaka 10 ijayo tutashika vichwa !!

Nchi kubwa kama Tanzania haifai tena kushirikiana na vitongoji.

Tunahitaji masoko ,kule kwenye vitongoji soko ni dogo sana.
 
Kama nikweli tunatakiwa kupewa maelezo yanayojitosheleza.........then ni hatari sana hasa tukitofautiana na hao jamaa
 
Tukija kugombana na huyo jamaa, hizo Switch zitatugharimu sana, haijalishi sababu za kufunga hizo switch huko
 
Najaribu kulitafakari kiufundi zaidi.Ina maana njia za kuupeleka umeme zipo mbili. Za kupeleka Rwanda na kurudisha kwetu.Kama ni hivyo Luna matumizi mabaya ta pesa,vlakini kama njia ya usafirishaji in moja ya kuupeleka Rwanda basi hizo ni porojo tu.
 
Nimepata taarifa zisizo rasmi kwamba eti lile bwawa la umeme la Rusumo linalojengwa huko Ngara Tanzania, eti switch zake za kuwashia na kusambazi umeme zinafungwa Rwanda.

Maana yake ni kwamba Tanzania itakuwa ikizalisha umeme, halafu huo umeme utasafiri hadi Rwanda, halafu Rwanda ndio itakua inawasha hizo Switch ili kuruhusu umeme uje Tanzania.

Je, kuna mantiki yeyote juu ya maamuzi kama haya? , kwahiyo siku tukipandisha ushuru bandarini kwa mizigo inayoenda Rwanda na wao wanatuzimia switch za umeme hadi tushike adabu, na umeme tunauzalisha wenyewe? Sasa nashangaa, Tanzania tulikosa pesa ya kununulia switch hadi kwenda kuomba mchango wa Rwanda na tugawane nao umeme nusu kwa nusu eti?

Mi nadhani kuwe na haja ya kupimana magonjwa ya akili kabla ya kupeana hizi wizara nyeti hasa za Nishati na madini.., video ina maelezo ya ziada

Huu ni uamuzi wa hovyo kabisa kwakuwa haukuzingatia kuwa Rwanda na Burundi ni mmadui. Ilipaswa kila kitu kiwekwe neutral country
 
Kujadili uzi kama huu ni kuudhalilisha ubongo.
Hivi inaingia akilini hiyo kweli?
Mwanaume unazuia chupi ya demu wako lkn K anakuwa nayo mwenyewe.
Switch ni kitu gani?

Halafu Taarifa ISIYO RASMI
Fogofu
 
Ni mradi wa ushirikiano baina ua nchi tatu yaani Tanzania, Rwanda na Burundi na wote wamechangia fedha. Wakizima switch na sisi tunazima mitambo ya kufua umeme...
🤣🤣
Kama wanakwenda kwenye mwezi sisi tutakwenda kwenye jua usiku kukiwa kumepoa
 
Nimepata taarifa zisizo rasmi kwamba eti lile bwawa la umeme la Rusumo linalojengwa huko Ngara Tanzania, eti switch zake za kuwashia na kusambazi umeme zinafungwa Rwanda.

Maana yake ni kwamba Tanzania itakuwa ikizalisha umeme, halafu huo umeme utasafiri hadi Rwanda, halafu Rwanda ndio itakua inawasha hizo Switch ili kuruhusu umeme uje Tanzania.

Je, kuna mantiki yeyote juu ya maamuzi kama haya? , kwahiyo siku tukipandisha ushuru bandarini kwa mizigo inayoenda Rwanda na wao wanatuzimia switch za umeme hadi tushike adabu, na umeme tunauzalisha wenyewe? Sasa nashangaa, Tanzania tulikosa pesa ya kununulia switch hadi kwenda kuomba mchango wa Rwanda na tugawane nao umeme nusu kwa nusu eti?

Mi nadhani kuwe na haja ya kupimana magonjwa ya akili kabla ya kupeana hizi wizara nyeti hasa za Nishati na madini.., video ina maelezo ya ziada

Huo uwiano unanipa mashaka

T 27%
B 27%
R 27%

  1. Project occupancy ni kubwa zaid upande gani wa nchi?
  2. Kuna % 1% extra nani anakula kijanja ... Mr. Slim?
 
smart moves kwa tz switch zilitakiwa kuwa nchi dhaifu, ambayo ni burundi, kupeleka switch Rwanda ambaye amejipambanua kama mshindani wako ni hatari kww afya ya uchumi wetu, halag hilo bwawa kama lipo upande wetu kulikuwa na ulazima gani kuchanga?? kwann tusingezalisha then wao tukawauzia hizo 27% kila mmoja?? kama ni mkopo tungeweza kukopa wote sisi, kila kitu tukimiliki sisi then wao wawe wateja tu, chakushare siku zote hakinaga afya, hatujifubzi tu mambo ya tazara na eac??
 
Ndio hapo sasa
 
Back
Top Bottom