FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #241
Bwawa lipo mpakani (mto Kagera) au lipo Tanzania?Hajui kuwa river kagera ndo mpaka wa tz na rwanda.
Jamaa anang'ang'ania kuwa mto upo tz coz bwawa lipo tz .
Hajui kuwa Kuna dam zinajegwa kwenye mto na zingine zinjengwa pembezoni moto. Kutona na umbembuzi yakinufi uliofanywa.
Bwawa lipo mpakani (mto Kagera) au lipo Tanzania?Nimemuekea ramani hapo juu.
Inaonyesha kuwa mto kagera ndio mpaka.
Tena nimemuwekea chanzo cha mto ni rwanda huku huku.
Tena nimemuekea mpaka link ,
Ila jamaa haelewi
Bwawa lipo Mpakani (Mto Kagera) au lipo Tanzania?Yeye anataka kila nchi license bwawa lake sawa inawezekana.
Ila chukuria mfano.
Sisi tunajenga huku afu pk anaenda kujenga nyuma yetu tena kubwa kuzidi letu ,
Just piga picha sisi tutapata huku.
Swali ::Kwani mto kagera upo pali mkuu??Bwawa lipo Mpakani (Mto Kagera) au lipo Tanzania?
Bwawa lipo mpakani (mto Kagera) au lipo Tanzania?Swali ::Kwani mto kagera upo pali mkuu??
Swali:Mto kagera upo tz au rwanda????Bwawa lipo mpakani (mto Kagera) au lipo Tanzania?
Wewe umeshajibu kwamba lipo mpakani, . Sasa,Bwawa lipo mpakani (mto Kagera) au lipo Tanzania?Swali:Mto kagera upo tz au rwanda????
Mto kagera upo tz au rwanda???Bwawa lipo mpakani (mto Kagera) au lipo Tanzania?
Kwa sababu wanajua ndo unatenganisha mpaka.HUO MTO RWANDA KULE UNAITWA MTO AKAGERA.
Wewe umeshajibu kwamba upo mpakani. Sasa nijibu, Bwawa lipo Mpakani (mto Kagera), au lipo Tanzania?Mto kagera upo tz au rwanda???
Hivyo vote nishakujibu.Wewe umeshajibu kwamba upo mpakani. Sasa nijibu, Bwawa lipo Mpakani (mto Kagera), au lipo Tanzania?
Mto kagera upo tz au rwanda???Wewe umeshajibu kwamba upo mpakani. Sasa nijibu, Bwawa lipo Mpakani (mto Kagera), au lipo Tanzania?
Si nimekujibu kwamba Umesema mto upo mpakani, nakubali. Sasa nijibu, Bwawa lipo Mpakani (Mto Kagera) au lipo Tanzania?Hivyo vote nishakujibu.
Ila wewe hutaki kujibu vya kwangu.
Rudi nyuma usome comment zangu
Nimekujibu huko juu rudi soma comment zangu , sitarudia tena swa mkuu.Sasa nijibu, Bwawa lipo Mpakani (Mto Kagera) au lipo Tanzania?
Mto kagera upo tz au rwanda?Si nimekujibu kwamba Umesema mto upo mpakani, nakubali. Sasa nijibu, Bwawa lipo Mpakani (Mto Kagera) au lipo Tanzania?
Upo mpakani umesema, mimi sipingi. Sasa niambie, Bwawa lipo mpakani (Mto Kagera) au lipo TanzaniaMto kagera upo tz au rwanda???