Aliyekubali Switch za bwawa la umeme la Rusumo Tanzania zikawekwe Rwanda ametumia akili zake ipasavyo?

Aliyekubali Switch za bwawa la umeme la Rusumo Tanzania zikawekwe Rwanda ametumia akili zake ipasavyo?

Hajui kuwa river kagera ndo mpaka wa tz na rwanda.
Jamaa anang'ang'ania kuwa mto upo tz coz bwawa lipo tz .
Hajui kuwa Kuna dam zinajegwa kwenye mto na zingine zinjengwa pembezoni moto. Kutona na umbembuzi yakinufi uliofanywa.
Bwawa lipo mpakani (mto Kagera) au lipo Tanzania?
 
Nimemuekea ramani hapo juu.
Inaonyesha kuwa mto kagera ndio mpaka.
Tena nimemuwekea chanzo cha mto ni rwanda huku huku.
Tena nimemuekea mpaka link ,
Ila jamaa haelewi
 
Yeye anataka kila nchi license bwawa lake sawa inawezekana.
Ila chukuria mfano.
Sisi tunajenga huku afu pk anaenda kujenga nyuma yetu tena kubwa kuzidi letu ,
Just piga picha sisi tutapata huku.
 
Yeye anataka kila nchi license bwawa lake sawa inawezekana.
Ila chukuria mfano.
Sisi tunajenga huku afu pk anaenda kujenga nyuma yetu tena kubwa kuzidi letu ,
Just piga picha sisi tutapata huku.
Bwawa lipo Mpakani (Mto Kagera) au lipo Tanzania?
 
Jamaa hajui kuwa construction za dam inategemana na eneo.
Zipo dam zinazojegwa kwenye mto na zipo dam zinazojengwa kwa kuchepusha maji. Jamaa haelewi
 
Back
Top Bottom