Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 10,002
- 16,240
Naamini kila mtu hupenda maisha mazuri na bora kwake nakwa mwenza wake,
Kwenye mahusiano kuna mambo mengi we all need one another.
Ukijifungia peke yako ukala nyeto unaonekana kama chizi 😁
So, kwenye mahusiano Moja ya Siraha ambayo kwangu naona ni siraha ya hatari sana ni kumpenda mtu sana kisha ukamuacha, inamuumiza sana hasa ukikuta aliyependwa si mwaminifu au ni rafiki mwenye jicho la wivu na uadui.
Rafiki wa karibu anaweza geuka adui mkubwa n mpenzi vile vile
Siku ikikutana na ex wako je atakupa hata maji ya kunywa au tabasamu lolote la kukuona wewe kama mtu mzuri na wamaana ?
Wanasema adui ukimtendea wema inakuwa ni sawa na kupalia makaa juu ya kichwa chake.
Binafsi ma ex zangu huko waliko watakua wananikumbuka sana sio zawadi sio mapenzi ilikua ni moto moto.
Iko hivi ukikutana na mtu kwenye sex kuna ile kwamba unaamua usitoe ushirikiano kivile, na kuna ile unafanya kwa kujituma, sasa hii ipo hasa kwa Ke, kama hajakupenda huto ona akijishughulisha,
Sasa potezea hivo then ukute Kijana wa watu anajishugulisha vizuri kila engo unakojonzwa vizuri, unalia milio yote siku ukiachwa utaisoma.
Imagine mie nilikua nakumbuka hadi kumkuna kichwa utamu umfike hadi kisogoni, siku nikiwa mbali nae ataacha kutoa machozi ...
Kafanana na dear ex.