Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kwamba huyo mwenye picha alifungua kesi ya madai kwa kutumia picha yake, hii ilisababisha kampuni imlipe mabilioni ya pesa wakati yeye maisha yake yote ni msituni. Pesa ambazo zilishia kuokotwa na wachoma mkaa ambao wamepoteza ajira kutokana na matumizi ya gesi.