balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Sisi wana simba kwanini tusijichange ili tukalipe tuondokane na hii laana? Tulikula rambirambi ya Mafisango ,ona sasa kombe la ligi hatujaligusa toka tumetenda dhambi hiyo.Hii laana itatumaliza maana ,Rambirambi haijawahi kumuacha mtu salama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app