Aliyekuwa askofu Konde aondolewa wakfu. Fimbo, msalaba na pete yake vyaondolewa wakfu pia. Sasa atabakia kuwa muumini wa kawaida

Kutoka ASKOFU hadi kuwa Muumini, tena wa kawaida. Aisee!! Hapana. Hii ni Adhabu kali sana. Mimi ningehama Mji kabisa.

Kuna 'kitu' hakiko sawa katika Uongozi wa KKKT.
Kitu gani hakipo sawa hapo?
 
Alipaswa aheshimu Mamlaka iliyo juu yake na iliyomsimika.

Nakumbuka hata Prof. Mark Mwandosya alimwonya sana.
 
Ili kuwamaliza nguvu hawa watu pamoja na mbwembwe zao; ni waumini kutokutowa sadaka na michango; sadaka za waumini masikini, zinawapa watu kiburi
 
Dini inapogeuka Kuwa kama vikundi vya kiislamu ka aal shababu, mujahidina etc, hapo panakuwa hakuna dini bali kundi la wahuni.
 
Wewe mburula, hizo ni taarifa zinapatikana kwenye public domains. Wengine sisi ni wanasheria tumehusika kwenye cases nyingi ya taasisi mbalimbali zikiwemo za dini hivyo tunajua.

Una akili ndogo sio rahisi kuelewa mambo mengi kwa wakati mmoja.
Hili povu litasaidia hapa nyumbani kufulia nguo.
 
Cha muhimu asimuache/amrudie Mungu. Vyeo vinapita tu lakini uzima was milele unadumu.
Kwanini asilimia 90 ya watumishi kwenye Makanisa haya ya Kimagharibi wanafanikiwa kiuchumi nje ya mfumo wanaouhubiri?

Kwanini wakianzisha na kusimama kwenye Makanisa yao au Huduma zao ndipo wanapopata mafanikio makubwa na kuwa Mamilionea?

Kwanini watumishi wanaotumika kwenye vituo vya Dayosisi (siyo Dayosisi kwenyewe) baadhi yao wana ugomvi wa sadaka na waumini?
 
Isitoshe wakaamua kwenda live kbs upendo tv
 
Cha muhimu asimuache/amrudie Mungu. Vyeo vinapita tu lakini uzima was milele unadumu.
Mwingira aliitangulia KKKT kuanzisha benki, Tv, Kilimo na Ufugaji Katavi, Sacoss, mgodi Arusha nk. Fernandes pia aliitangulia Pentecost kuanzisha Tv, Gamanywa naye akatangulia kuanzisha redio na gazeti, wapentekoste wakamzulia ugomvi kwamba redio ni yao, kumbe hawakujuwa redio siyo mitambo ambayo ndiyo ilikuwa yao, huku Gamanywa akimiliki leseni na masafa, ndiyo wakaja kujuwa kwamba kumbe redio ni leseni na masafa, siyo mitambo na news room.
 
Makanisa ya kimagharibi ndio yapi?

Watumishi wengi sana huko Lutheran, catholic, Anglican etc ni matajiri sana sana. Huwa hamuwafuatilii kuliko hawa walioanzisha huduma.

Makanisa mengi ambayo ni taasisi yana tatizo sana kwenye uaminifu wa kuripoti makusanyo ya sadaka kwenye dayosisi zao. Hapo lazima waumini na wachungaji wawe na vita
 
Daah hawa jamaa na wale wenzao moraviani ni fulu undavaundava kama wapo kwenye mchiriku. Hakuna wazee wa busara huku au wamezidiwa nguvu na dotcom
 
Mbona RC wamemaintain uaminifu?
Hawa RC sio kama hawana mauozo yao kama hawa wengine ni vile tu wao hawajaruhusu demokrasia (unasali unasepa zako hakuna maswali sijui sadaka au uongozi unafanya nini sijui) ndomaana uezi kusikia chochote lakini ukitaka kujua wakoje ww kaa na watu wa uko ndani malalamiko yapo kibao tu ila ndoivo yanaenda kichinichini hutayasikia kamwe
 
Sasa atakuwa sawa na yule ''Askofu wa kiroho'' wa Tundu Lissu yeye kajishonea kofia ya kwake na kajitengenezea fimbo yake mwenyewe ya uaskofu halafu akajipa mwenyewe uaskofu,ana waumini hawazidi kumi, siku hizi dini zimekuwa taasisi za hiari! wakikuzingua nawe unawazingua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…