Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
MbeyaSamahan kidogo.Hii Konde ipo mkoa gani kwanza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MbeyaSamahan kidogo.Hii Konde ipo mkoa gani kwanza?
Kitu gani hakipo sawa hapo?Kutoka ASKOFU hadi kuwa Muumini, tena wa kawaida. Aisee!! Hapana. Hii ni Adhabu kali sana. Mimi ningehama Mji kabisa.
Kuna 'kitu' hakiko sawa katika Uongozi wa KKKT.
Pete na makorokocho mengine kama hayo ni mafungamano ya ibada za kisanamu. Pete zenyewe zimetengenezwa na mtu anavuta cigar halafu unaziita takatifu?We shetani mfuga majini kaa kimya
Hili povu litasaidia hapa nyumbani kufulia nguo.Wewe mburula, hizo ni taarifa zinapatikana kwenye public domains. Wengine sisi ni wanasheria tumehusika kwenye cases nyingi ya taasisi mbalimbali zikiwemo za dini hivyo tunajua.
Una akili ndogo sio rahisi kuelewa mambo mengi kwa wakati mmoja.
Kwahiyo maaskofu Wanyakusa ndiyo waleta migogoro KKKT?.natanguliza samahani, naomba mnipe jina la askofu KKKT wa kinyakyusa AMBAYE HAJA-CREATE MIGORORO PALE ALIPO, AU ALIPOKUWA
Kwanini asilimia 90 ya watumishi kwenye Makanisa haya ya Kimagharibi wanafanikiwa kiuchumi nje ya mfumo wanaouhubiri?Cha muhimu asimuache/amrudie Mungu. Vyeo vinapita tu lakini uzima was milele unadumu.
Simple!Samahan kidogo.Hii Konde ipo mkoa gani kwanza?
Mwingira aliitangulia KKKT kuanzisha benki, Tv, Kilimo na Ufugaji Katavi, Sacoss, mgodi Arusha nk. Fernandes pia aliitangulia Pentecost kuanzisha Tv, Gamanywa naye akatangulia kuanzisha redio na gazeti, wapentekoste wakamzulia ugomvi kwamba redio ni yao, kumbe hawakujuwa redio siyo mitambo ambayo ndiyo ilikuwa yao, huku Gamanywa akimiliki leseni na masafa, ndiyo wakaja kujuwa kwamba kumbe redio ni leseni na masafa, siyo mitambo na news room.Cha muhimu asimuache/amrudie Mungu. Vyeo vinapita tu lakini uzima was milele unadumu.
Makanisa ya kimagharibi ndio yapi?Kwanini asilimia 90 ya watumishi kwenye Makanisa haya ya Kimagharibi wanafanikiwa kiuchumi nje ya mfumo wanaouhubiri?
Kwanini wakianzisha na kusimama kwenye Makanisa yao au Huduma zao ndipo wanapopata mafanikio makubwa na kuwa Mamilionea?
Kwanini watumishi wanaotumika kwenye vituo vya Dayosisi (siyo Dayosisi kwenyewe) baadhi yao wana ugomvi wa sadaka na waumini?
Mbona RC wamemaintain uaminifu?Makanisa mengi ambayo ni taasisi yana tatizo sana kwenye uaminifu wa kuripoti makusanyo ya sadaka kwenye dayosisi zao. Hapo lazima waumini na wachungaji wawe na vita
Hawa RC sio kama hawana mauozo yao kama hawa wengine ni vile tu wao hawajaruhusu demokrasia (unasali unasepa zako hakuna maswali sijui sadaka au uongozi unafanya nini sijui) ndomaana uezi kusikia chochote lakini ukitaka kujua wakoje ww kaa na watu wa uko ndani malalamiko yapo kibao tu ila ndoivo yanaenda kichinichini hutayasikia kamweMbona RC wamemaintain uaminifu?
Si unajua raisi wao ni kutoka kwa kabila linaloota pesa nae kawaambukiza maaskofu wenzake, wote ni wachovya asaliKKKT mbona mnafirimbana kwenye Madaraka kiasi hiki?.. 🤣 🤣