Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huyu aliyeshitakiwa hapa alikuwa Mkurugenzi wa Halmashauri (DED), Kama Kawaida huyu naye alisaidia wizi wa kura kwenye eneo lake, Lakini leo yamemfika na hakuna wa kumtetea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabidi tufanye lobbying kesi za chaguzi haramu ziwe zinasikilizwa ICC.Hii hoja yafaa imfikie Mzee Trumpet kwani naye 2020 alipitia kikaango cha wezi wa kura hivyo ni jambo atalisikiliza haraka na kulifanyia kazi.Huyu aliyeshitakiwa hapa alikuwa Mkurugenzi wa Halmashauri (DED), Kama Kawaida huyu naye alisaidia wizi wa kura kwenye eneo lake, Lakini leo yamemfika na hakuna wa kumtetea.
View attachment 3149721View attachment 3149722
Id yako kiboko!Kumeanza kuchangamka
Id za wawezeshaji zisichangamke tena hapo chacha ukute ya chawa mchangamfuId yako kiboko!
Unashabikia wezi???Huwezi kumtumikia shetani ukabaki salama, muulizeni Lusubilo Mwakabibi
Swali la kijingaUnashabikia wezi???
Au hutaki wezi wakamatwe!!
Ebu acha utoto! Mnaambiwa kila siku muandamane mnaufyata, halafu eti leo mwende The Hague? KUMBAVU!!!Inabidi tufanye lobbying kesi za chaguzi haramu ziwe zinasikilizwa ICC.Hii hoja yafaa imfikie Mzee Trumpet kwani naye 2020 alipitia kikaango cha wezi wa kura hivyo ni jambo atalisikiliza haraka na kulifanyia kazi.
Haya Mtoto wa shule rudi shule ujue angalao dunia inasemaje.Ebu acha utoto! Mnaambiwa kila siku muandamane mnaufyata, halafu eti leo mwende The Hague? KUMBAVU!!!