Aliyekuwa DED wa Bunda afikishwa kizimbani kwa Uhujumu Uchumi

Huyu aliyeshitakiwa hapa alikuwa Mkurugenzi wa Halmashauri (DED), Kama Kawaida huyu naye alisaidia wizi wa kura kwenye eneo lake, Lakini leo yamemfika na hakuna wa kumtetea.

View attachment 3149721View attachment 3149722
Inabidi tufanye lobbying kesi za chaguzi haramu ziwe zinasikilizwa ICC.Hii hoja yafaa imfikie Mzee Trumpet kwani naye 2020 alipitia kikaango cha wezi wa kura hivyo ni jambo atalisikiliza haraka na kulifanyia kazi.
 
Ebu acha utoto! Mnaambiwa kila siku muandamane mnaufyata, halafu eti leo mwende The Hague? KUMBAVU!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…