TANZIA Aliyekuwa dereva wa Mkurugenzi msaidizi (Utawala) ofisi ya Makamu wa Rais, Bw Willhelmy Benard Kido afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa dereva wa Mkurugenzi msaidizi (Utawala) ofisi ya Makamu wa Rais, Bw Willhelmy Benard Kido afariki dunia

JM3

Senior Member
Joined
Dec 13, 2019
Posts
157
Reaction score
328
TANZIA

Kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais:Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais,Anasikitika kutangaza kifo Cha Bw. Willhelmy Bernard Kido
IMG_20200510_205443.jpg
 
😳😳😳Huyu jamaa kafariki? Mara ya mwisho tumekutana ziarani akiwa dereva wa waziri mkuu K. Majaliwa, Ina maana alihamishwa?

Sitaki kuamini ngoja nimpigie simu
 
Poleni wafiwa japo tunasikitika zaidi kutokana na misiba kuwa mingi robo mwaka huu..!
 
Wamebaki walinzi tu na mashemeji wa madereva na ndugu wa madereva sasa
 
[emoji15][emoji15][emoji15]Huyu jamaa kafariki? Mara ya mwisho tumekutana ziarani akiwa dereva wa waziri mkuu K. Majaliwa, Ina maana alihamishwa?

Sitaki kuamini ngoja nimpigie simu
Huyo huyo mi mwenyewe nimeona kwenye sikuamini
 
Back
Top Bottom