TANZIA Aliyekuwa dereva wa Mkurugenzi msaidizi (Utawala) ofisi ya Makamu wa Rais, Bw Willhelmy Benard Kido afariki dunia

😳😳😳Huyu jamaa kafariki? Mara ya mwisho tumekutana ziarani akiwa dereva wa waziri mkuu K. Majaliwa, Ina maana alihamishwa?

Sitaki kuamini ngoja nimpigie simu
 
Poleni wafiwa japo tunasikitika zaidi kutokana na misiba kuwa mingi robo mwaka huu..!
 
Wamebaki walinzi tu na mashemeji wa madereva na ndugu wa madereva sasa
 
[emoji15][emoji15][emoji15]Huyu jamaa kafariki? Mara ya mwisho tumekutana ziarani akiwa dereva wa waziri mkuu K. Majaliwa, Ina maana alihamishwa?

Sitaki kuamini ngoja nimpigie simu
Huyo huyo mi mwenyewe nimeona kwenye sikuamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…