TANZIA aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Julius Benedicto Mallaba afariki dunia

TANZIA aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Julius Benedicto Mallaba afariki dunia

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Ndugu Samia Suluhu Hassan, ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Julius Benedicto Mallaba.

Note: comments kwenye hii post huko FB zinatisha Sana.

Jaji.png
 
C& P#TANZIA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Julius Benedicto Mallaba.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Note: comments kwenye hii post huko FB zinatisha Sana.
Apumzike kwa amani Mheshimiwa Jaji.
Anakwenda sasa kukutana na Jaji Mkuu, aliye hakimu wa haki huko Mbinguni.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Julius Benedicto Mallaba.

Note: comments kwenye hii post huko FB zinatisha Sana.

View attachment 3519139
Good riddance, Baba Mungu! Ikikupendeza tuondolee hata bench zima. Hao mazafakas hawana manufaa yoyote kwa taifa la watu wako. In fact, wamekuwa jipu baya sana!
 
Back
Top Bottom