Aliyekuwa Kamishna wa Uhifadhi Ngorongoro atuhumiwa kuhusika na ufisadi wa kutisha

Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Dakta Samia Suluhu Hassan isikubali kuwa uchochoro wa wamaasai kuumizwa kwa kiwango kisichosahaulika. Wamaasai wanapitia maumivu makubwa sana ndani ya serikali ya Samia Suluhu Hassan. Kuna wahuni wenye tamaa wanaona ndio muda wa kufufua sheria za wakati wa ukoloni.
 
Hizi zote ni juhudi za mama Samia.

#Mitatuyamama

Mama anaupiga mwingi.

Mama amewafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka na wanabubjikwa machozi ya furaha.

Cc: Lucas Mbwa Wa Shamba.
 
Hebu rudia tena!

Watu waliruhusiwa wanafanya utekelezaji.

Hizi ndio juhudi za Mama Samia kuwaletea watanzania maendeleo.

Mama anaupiga mwingi!
Your browser is not able to display this video.
 
Mwalimu alimteua Waziri wa Mali asili na utalii kati ya Ole Saibul au Ole Saitabau ili kulinda maslahi ya wamasai, siku hizi wasio na uchungu na maisha ya wamasai ndio wanawekwa kwenye hicho chungu. Matokeo yake ndio haya.
 
Ina maana vingozi wetu wameshindwa kudhibiti wizi wa mali za umma??? Ukikuta afisa wa tra anavyombana mfanyabiashara wa kati kumlimbikizia makodi kwa kweli duniani hakuna haki?
 
Haiwezekani mtu anakwapua mabilioni ya shillingi asikamatwe na kwenda kuozea ukonga.

Mtu amekwapua mabilioni ya serikali lkn bado yupo uraiani anadunda tu.

Naamini kuna uchawi wanafanya.
Your browser is not able to display this video.
 
Hizo pesa ni ndigo sana, walipaswa wahame na volt ya pesa.
 
Ndio pesa zinavyoingia kwenye mazunguko wadau tulieni
400mil mtu mmoja ndani ya 3mons lazima zilete multiplier effect hadi kwa mtu wa chini hizi
 
Haiwezekani mtu anakwapua mabilioni ya shillingi asikamatwe na kwenda kuozea ukonga.

Mtu amekwapua mabilioni ya serikali lkn bado yupo uraiani anadunda tu.

Naamini kuna uchawi wanafanya.View attachment 2951934
Ukivaa mavazi ya kijani (KAMANDA MKUU WA WALE MAADUI WA 3 yaani MAGONJWA,UJINGA NA UMASIKINI ambaye ni CHAMA CHA MAFISADI CCM) ndio uchawi wenyewe huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…