Aliyekuwa Kamishna wa Uhifadhi Ngorongoro atuhumiwa kuhusika na ufisadi wa kutisha

Yule
Dr MLEL aliyekuwa chadema akaenda sisiem na akapewa uwaziri wa afya sijui naibu waziri ni kabila gani?

Unakumbuka msimamo wake kuhusu COVID kipindi Magufuli akiwa hai na baada ya Magufuli ulikuwaje?
 
Tumesikia kutoka kwa masai, tunataka kusikia sasa kutoka kwa taasisi husika.
 
Shida ya mishindo wanayopiga watu saihizi wanajengea tu. Hela zinarudi kwa wenyewe huko. Hamna mtu anatapanya hela na wengine wanazificha kwenye bond za serikalini😂
Ndio pesa zinavyoingia kwenye mazunguko wadau tulieni
400mil mtu mmoja ndani ya 3mons lazima zilete multiplier effect hadi kwa mtu wa chini hizi
 
Shida ya mishindo wanayopiga watu saihizi wanajengea tu. Hela zinarudi kwa wenyewe huko. Hamna mtu anatapanya hela na wengine wanazificha kwenye bond za serikalini😂
Duh
Ina maana hata muuza nyagi hata ile harufu ya hizi pesa hapati 😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…