Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Mwenyezi Mungu, ampumzishe mahala pema. Pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyezi Mungu, ampumzishe mahala pema. Pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki.
Ndiyo hiyo kesi mkuu ilikuwa balaaaNakumbuka battle yake na chama cha riadha Tanzania, walikuwa wananyukana kwenye media.
Ijapo ajali zinatokea sehemu nyingi lakini kwa Arusha wale jamaa ni bangi na pombe Kali.Sio boda boda wao wanaita toyo ama waendesha magari.Ni vurugu sana barabaraniView attachment 3092230
Wilhelm Gidabuday enzi za uhai wake
Wanaukumbi aliyekuwa Katibu Mkuu chama Cha riadha Tanzania(RT) Wilhelm Gidabuday amefariki dunia usiku wa kuamkia Leo tarehe 10/9/2024 Kwa kugongwa na gari akirudi kwake eneo la Maji ya Chai jijini Arusha.
Taarifa kamili tutawaletea.
Apumzike Kwa amani
===== ==
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Wilhelm Gidabuday amefariki dunia.
Inaelezwa Gidabuday amefariki dunia saa 7 usiku wa kuamkia leo Jumanne Septemba 10, 2024 baada ya kugongwa na gari eneo la Maji ya Chai, mkoani Arusha.
Mjumbe wa Riadha kanda ya Mashariki, Alfredo Shahanga ameiambia Mwananchi, kiongozi huyo amefariki baada ya kugongwa kwenye eneo hilo akiwa ameshuka kwenye gari akielekea nyumbani kwake.
"Ni kweli Gidabuday hatunaye," amesema Shahanga kwa masikitiko.
Shahanga anasema kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hili, Gidabuday alipoteza maisha hapo hapo baada ya kugongwa.
Endelea kufuatilia Mwananchi kwa habari zaidi
Pia soma
Mbongo mpe kichwa cha habari tu mengine atajazia,wewe unayoandika hapa ukibanwa unaweza ukayathibitisha?
Nina uhakika tofauti ya kiumri kati yako wewe na Bayi humjui kwa kiasi kikubwa kama unavyotaka kutuaminisha hapa na wewe ndiye mchawi kujifanya unawajua sana watu
Inawezekana; lisemwalo lipo.Mbongo mpe kichwa cha habari tu mengine atajazia,wewe unayoandika hapa ukibanwa unaweza ukayathibitisha?
Nina uhakika tofauti ya kiumri kati yako wewe na Bayi humjui kwa kiasi kikubwa kama unavyotaka kutuaminisha hapa na wewe ndiye mchawi kujifanya unawajua sana watu
Hii ajali sio ya mchongo kweliView attachment 3092230
Wilhelm Gidabuday enzi za uhai wake
Wanaukumbi aliyekuwa Katibu Mkuu chama Cha riadha Tanzania(RT) Wilhelm Gidabuday amefariki dunia usiku wa kuamkia Leo tarehe 10/9/2024 Kwa kugongwa na gari akirudi kwake eneo la Maji ya Chai jijini Arusha.
Taarifa kamili tutawaletea.
Apumzike Kwa amani
===== ==
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Wilhelm Gidabuday amefariki dunia.
Inaelezwa Gidabuday amefariki dunia saa 7 usiku wa kuamkia leo Jumanne Septemba 10, 2024 baada ya kugongwa na gari eneo la Maji ya Chai, mkoani Arusha.
Mjumbe wa Riadha kanda ya Mashariki, Alfredo Shahanga ameiambia Mwananchi, kiongozi huyo amefariki baada ya kugongwa kwenye eneo hilo akiwa ameshuka kwenye gari akielekea nyumbani kwake.
"Ni kweli Gidabuday hatunaye," amesema Shahanga kwa masikitiko.
Shahanga anasema kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hili, Gidabuday alipoteza maisha hapo hapo baada ya kugongwa.
Endelea kufuatilia Mwananchi kwa habari zaidi
Pia soma
Mwamba haswa aliewasem akina filbert bayi live bila chenga .. huyu ni lissu wa riadhaView attachment 3092230
Wilhelm Gidabuday enzi za uhai wake
Wanaukumbi aliyekuwa Katibu Mkuu chama Cha riadha Tanzania(RT) Wilhelm Gidabuday amefariki dunia usiku wa kuamkia Leo tarehe 10/9/2024 Kwa kugongwa na gari akirudi kwake eneo la Maji ya Chai jijini Arusha.
Taarifa kamili tutawaletea.
Apumzike Kwa amani
===== ==
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Wilhelm Gidabuday amefariki dunia.
Inaelezwa Gidabuday amefariki dunia saa 7 usiku wa kuamkia leo Jumanne Septemba 10, 2024 baada ya kugongwa na gari eneo la Maji ya Chai, mkoani Arusha.
Mjumbe wa Riadha kanda ya Mashariki, Alfredo Shahanga ameiambia Mwananchi, kiongozi huyo amefariki baada ya kugongwa kwenye eneo hilo akiwa ameshuka kwenye gari akielekea nyumbani kwake.
"Ni kweli Gidabuday hatunaye," amesema Shahanga kwa masikitiko.
Shahanga anasema kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hili, Gidabuday alipoteza maisha hapo hapo baada ya kugongwa.
Endelea kufuatilia Mwananchi kwa habari zaidi
Pia soma
Alafu kuna mtu akachukua simuyake akampigia mkewe amejuaje mkewe hata sijaelewaHii ajali sio ya mchongo kweli
Mnatamani huyo mzee afe?Nimekuja mbio mbio nikajua ni Filbert Baye nikijiandaa kufanya sherehe kama wale waliofanya sherehe usiku wa 17/3/21....
Anyway poleni sana wafiwa
Hata leoMnatamani huyo mzee afe?