TANZIA Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Riadha, Wilhelm Gidabuday afariki dunia kwa kugongwa na gari

Ijapo ajali zinatokea sehemu nyingi lakini kwa Arusha wale jamaa ni bangi na pombe Kali.Sio boda boda wao wanaita toyo ama waendesha magari.Ni vurugu sana barabarani
 
 
Inawezekana; lisemwalo lipo.
 
Hii ajali sio ya mchongo kweli
 
Mwamba haswa aliewasem akina filbert bayi live bila chenga .. huyu ni lissu wa riadha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…