TANZIA Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Servacius Likwelile afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Servacius Likwelile afariki dunia

dikteta2020

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2018
Posts
595
Reaction score
3,991
Vicky Kamata atangaza kuondokewa na mwenza wake Dkt. Servacius Beda Likwelile. Moja ya wahadhiri nguli na wanazuoni wa kitanzania Dkt. Servacius Likwelile hatunaye. Dkt. Likwelile amewahi kuhudumu katika Wizara ya Fedha na Mipango kama Katibu Mkuu kabla ya uteuzi wake kutenguliwa mwaka 2016.

Pia soma

- Vicky Kamata afunga Ndoa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dk. Likwelile

Likwelile.jpg
 
Hii Corona sasa sijui, tutazika mpaka lini? mwenzio akinyolewa zako tia maji, sio kutoa pole tu huku kwenye mitandao kama vile Corona haituhusu, huu ni wakati wa kumrudia muumba wetu serious.

Lakini utashangaa leo jmosi watu wanaenda disko hawana barakoa!.
 
Back
Top Bottom