TANZIA Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Servacius Likwelile afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Servacius Likwelile afariki dunia

Hatujawahi kuishinda corona. Corona inakuja kwa awamu. Ile ilikuwa awamu ya kwanza na haikudhibitiwa ndiyo maana imekuja tena nyingine tena kwa ukali.
 
Nafikiri tutafute maana ingine ya ushindi. Huwezi kudai ulishinda wakati huna takwimu sahihi za watu wako waliopoteza maisha!
 
Kweli jasiri yeye hadi mfiwa anapata nguvu ya kuandika kuchagua picha na kupost instagram!! Wafiwa wa siku hz utamkuta na nguvu ya kuchagua sare kuchagua nguo kujiremba kutoa hotuba nk nk Asubiri mirathi tu aongeze utajiri
Anafurahia yule wa pili sasa atakuwa na uhuru wote?
 
Kuna uhumimu vyombo vya dola kuwalinda hawa wazee.
 
Mbna wazee Tu , au Mungu ameamua kuwapigania vijana kivingine wapate ajira ...R.I.P mwamba , tukutane asubuhi njema ya ufufuo kama ulizichanga vizur kete hapa duniani na Mungu wako lakni..kama uliharibu basi tena
Wapate ajira? huyu anayezikwa leo alikuwa keshastaafu
 
Mbna wazee Tu , au Mungu ameamua kuwapigania vijana kivingine wapate ajira ...R.I.P mwamba , tukutane asubuhi njema ya ufufuo kama ulizichanga vizur kete hapa duniani na Mungu wako lakni..kama uliharibu basi tena
Hivi jamani wabongo bado hamjajua tu corona ni hatari kwa watu wa umri gani? Ni kuwa mnaropoka tu au hamjui? Unakuta mtu na akili zake anaandika utumbo mtupu. Mungu apiganie watu kwa kuua wengine tena wasio na hatia?
 
Sawa mkuu bas kama we ni Mzee stay home...!!!
 
Back
Top Bottom