TANZIA Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Servacius Likwelile afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Servacius Likwelile afariki dunia

Nina shangaa Sana ,najiulizaaa sipati jibu...Kuna nn ikulu???hata Kama ni huyu mgeni covid why kumeng'ang'aniwa halafu interval (3-5 )days.ngoja niendelee kutafiti.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Tukimbilie wapi mkuu au tusubiri tu maana kuna watu wana vaa barakoa bado ina wabeba!
Pengine siku sio nyingi misiba ikakosa watu kwa kuhofia usalama wa afya!
Tuendelee kuchukua tahadhari na kumuomba Mungu maana giza limetanda pengine ndio pana karibia kupambazuka
Chukua tahadhari zote,piga nyungu doze ya kutosha.Mungu mbele.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Mbna wazee Tu , au Mungu ameamua kuwapigania vijana kivingine wapate ajira ...R.I.P mwamba , tukutane asubuhi njema ya ufufuo kama ulizichanga vizur kete hapa duniani na Mungu wako lakni..kama uliharibu basi tena
The elders are weak. Their body immunity is low.
 
Back
Top Bottom