Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Mkuu ebu tazama vidole vyako utagundua kuwa havilingani kabisa .Hii Corona sasa sijui, tutazika mpaka lini? mwenzio akinyolewa zako tia maji, sio kutoa pole tu huku kwenye mitandao kama vile Corona haituhusu, huu ni wakati wa kumrudia muumba wetu serious.
Lakini utashangaa leo jmosi watu wanaenda disko hawana barakoa!.
Ndiyo ujue kuwa hata akili hatuwezi kulingana